Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta mishumaa ile inayofukuza Mbu kwa bei ya jumla , kama unayo au unapafahamu sehemu inapopatikana naomba msaada. Napatikana Ubungo Riverside DSM natanguliza shukrani kwa msaada...
1 Reactions
3 Replies
637 Views
Husika na kichwa cha habari, napatikana mwanza naomba mwenye line za uwakala tigo na voda tuwasiliane, uwe ni mtu unayeeleweka na usinijie kwa njia ya kunitapeli, au kama line zako zina matatizo...
1 Reactions
17 Replies
956 Views
Habari wana jukwaa, Natafuta catering nzuri na yenye uzoefu na upikaji wa vyakula kisasa kwenye maharusi,lazima apatikane Dar na awe na mchanganuo mzuri wa menu na bei zake. Kwa yoyote aliyetayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mawasiliano piga 0738 441351 tukuhudumie. Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na waajiriwa serikalini na sekta binafsi. Kuanzia 1 milioni nakuendelea dhamana ni gari yako tuu
2 Reactions
49 Replies
11K Views
Ni PM kwa mahitaj,.. Bila picha itakua haina maana.
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Page ina likes 100k. Talking about ni from 20k people follow this 111k Nitakuunga kama editor uwe una post just free lakini kwa masharti yafuatayo. 1:Husiwe na website/blog iliyo na pop up ads...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Je una used item yoyote unayoitaji kuiuza au kuinunua na hujui n wapi utaiuza,soluhisho limepatikana karibu tukusaidie kuuza na kununua kwa bei poa kabisa call/WhatsApp 0718096900
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Majiko mapya ya kisasa imara na yenye ubora wa tbs na yenye kuhifadhi joto na kutumia nishati kidogo katika kupika, kuchemsha, kukaanga chakula cha aina yoyote ile. Ni mazuri sana unayatumia...
0 Reactions
4 Replies
12K Views
wadau nina galaxy J3 2016,inahitaji dispaly kama uko tayari weka ofa Nikuuzie au kama una display ya Galaxy J3 2016 weka bei pia.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau habarini! Nina kiwanja kimepimwa kipo Dodoma eneo linaitwa Swaswa mbele kidogo ya makazi ya Waziri Mkuu na jirani kabisa na inakopita barabara ya kuelekea Airport tarajiwa ya Msalato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu! Inatakiwa DHAHABU kwa ajiri soko la nje. -LOI imeshatumwa tayari. -Payment system ni CIF. -100 kg every month. -22 karat (Purity) -Contract itakua ya 1 year. -Buyers Country ni Dubai. So...
2 Reactions
88 Replies
10K Views
Tunapatikana Dar, Moshi, Arusha na Dodoma pia delivery popote ulipo kwa mawasiliano tupigie kupitia 0762261646 Au tuffollow instagram @mirry_cake_addict Ahsante
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu .ninapokea order za cake za jumla na rejareja kwa bei nafuu.ukitaka cup cake au cake za shughul mbalimbali au za biashara naomba tuwasiliane kwa number hii...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
tunakuletea sabwoofer zenye uwezo mkubwa na sifa za kisasa zenye RADIO STATION, BLUETOOTH, USB PORT, MMC PORT Warrant miaka 2. Tunapatikana Kkoo msimbaz daresalaam na China Plaza floor ya pili...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kama unalo nipe contacts. Dar tu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Solar pannel watt 120,betri kavu N100 aina ya Rita,inveta watt 300 pamoja na feni ya solar vinauzwa! Bei vyote sh.400,000/= Location: Gongo la mboto Contacts:0714620472 pia unaweza kuja PM
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Lotion kutoka Congo, anaetaka aniagize namletea, lakini visiwe vingi Sana.
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Ndugu mpendwa, husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, ENEO la ziwani hekari 20 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site, SIFA ZA...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Wanajamvi bila shaka mpo vizuri, naomba ushauri wenu, natafuta printer ambayo itanisaidia ktk kuprint, kutoa copy, scan documents na kusafisha picha za passports. Iwe inafanya kazi mda mrefu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…