Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau, ninazo UPS na Printers naziuza kwa bei nafuu UPS ni APC 650 VA na Printers sifa zake ni kama ifuatavyo 1.HP P3015 hii ni Laserjet printer black and white, ina uwezo wa kuprint more than...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO KIBAHA PICHA YA NDEGE KUTOKA BARABARANI KAMA 3.KM NYUMBA INA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER NYUMBA IPO KTK MAZINGIRA MAZURI KAMA MUNAVOIYONA INA UWANJA MKUBWA BEI MAELEWANO...
1 Reactions
1 Replies
997 Views
******the good was sold***********/
0 Reactions
0 Replies
678 Views
*********the device was sold*****
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Kwa wale wenyeji wa kongowe mzinga naombeni msaada
2 Reactions
3 Replies
962 Views
Husika na kichwa cha habari.. Nilinunua line ya ttcl na nikawa naitumia mtandao ulikuwa unasoma vizuri lile eneo nililokuwa naishi . sasa nimehama lile eneo na huku nilipo ttcl ni majanga mtandao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za jumapili. Naomba msaada wa kujua bei na suppliers wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi na mpunga. Naomba pia kwa wajuzi wa eneo hili wanifahamishe brand zipi ndo bora pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau nauza Laini za uwakala vodacom M-pesa na Tigo Tigopesa Laini haijafanya Transaction yeyote we utakayenunua Ndo utaibikiri...kwa Mawasilino zaidi nicheki[emoji117][emoji395] Acha namba yako...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mwenye mashine ya kuuza ya kufyatulia tofali za Block isiyo ya umeme..!! Awe maeneo ya ubungo anicheki kwenye 0718 922 168/ 0786 437 712
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini za kazi wadau, poleni kwa majukumu. Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine za kufyatulia tofali za umeme pamoja na mixture
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Camera tajwa inauzwa kwa bei ya 1,000,000sh,iko katika hali nzuri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Used smartphone kutoka Dubai na Europe zinauzwa. Infinix zero 4- bei 400,000/= Infinix zero 4 Plus bei 450,000/= Tecno K7 bei 250000/= Mawasiliano 0715808028.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta soksi za pundamilia. Za mchanganyiko wa rangi ya blue na nyeupe. Au kijani na nyeupe. Kwa bei ya jumla mwenye nazo Tuwasiliane 0714306015 AU pm Naambatanisha na picha za mwonekano wake...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari ndugu. Nahitaji dryer na steamer iliotumika. Budget laki 2. Nicheki kwenye mamba 0712220207.
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Nauza samsung galaxy alpha bei laki mbili tu 0625745882 whatsapp only. Wah sasa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mwandishi mzuri wa motivational letter na essay, awe na ngeli iliyonyooka nampa hints anaandika. Karibu pm
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Nauza canon lens kama unavyoiona hapo
0 Reactions
1 Replies
520 Views
hii hapa ipo Zanzibar bei milion 1 na nusu iko poa
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Bei ni Tsh/=30,000 nimeshindwa kuweka picha ila tembelea => www.facebook.com/abicleveryohlo hapo utaona tangazo ambalo liko na picha kamili ila ni watu wa MKoa wote wa Tanga Tu Tuwasiliane 0624101615
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…