Wapi naweza kupata mashine za kufyatulia tofali za umeme pamoja na mixture?

magange

Member
May 30, 2015
65
15
Habarini za kazi wadau, poleni kwa majukumu.
Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine za kufyatulia tofali za umeme pamoja na mixture
 
Japo ni muda mrefu Mashine utazipata kwetu Mkuu karibu Nina Uzi pia nimezungumzia upatikanaji Wa Mashine nitafute 0762612213 Mashine yeyote toka sido na pia Nina website utaziona www.najidakia.com
 
Back
Top Bottom