Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, nipo Mbeya nahitaji vifaranga wa kuku chotara...je ni wapi wanauza kwa maeneo ya jirani iwe Mbeya mjini, Mbozi, Mbarali au hata Tukuyu na Makambako. Aina gani ya vifaranga hao ni bora kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ipo kwenye hali nzuri sana (Imetumika kwa miezi 3 tu). Bei yake dukani ni Tsh 700,000+ lakini nitakuuzia kwa Tsh 500,000 (No bargaining). Specification: Ina uwezo wa kutoa copy, scan na kuprint...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pata mbegu saafi ya nguruwe miezi mitano kwa bei nafuu sana. Wahi sasa tumebakisha mbegu za dume aina ya large white 13(kumi na tatu) tu. Mawasiliano 0672879278. Karibuni Tupo ruvu darajani na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nauza eneo lenye ukubwa wa heka 3 lipo Msanga Chamwino Ikulu Dodoma mwenye uhitaji mawasiliano nicheki 0712877148
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HP compaq Desktop inauzwa 300,000/- HDD 250 Gb RAM 2.00 Gb Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz One CD rom drive Monitor DELL 21 inch Keyboard Mouse All wire cable Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Karibu ujipatie kwa sh laki moja na elfu 20 tu napatikana mwananymala Dar. 0655501281
0 Reactions
3 Replies
3K Views
RAM 2GB HDD 160GB processor 1.50GHz Battery life 4 hrs Imetumika kwa miezi 3 tu na haina shida yoyote..... Bei ni 200,000 Mawasiliano ni 0768080549
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza Samsung galaxy j1 ace Ipo kwenye hali nzuri No crack Internal memory 4gb Android version 4.4 Bei:150000 maongezi yapo Tuwasiliane PM ..
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Kama unahitaji Viwanja Goba & Goba Kinzudi tuwasiliane 0675107182. Vipo Vya Ukubwa tofauti kuanzia, Square Mita 400 na Kuendelea. 400Sqm Kipo Cha Kuanzia 15 Milioni na 10 Milioni . ***** Your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The fast growing company in Town is near to you, You may request health and good food services from us. We made the Test your dreaming to meet one time. Our company is offer Lunch and Dinner you...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Habari za leo wadau? Naomba kama kuna mtu anaifahamu dawa ya kupaka mbao za kuezekea nyumba anifahamishe tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wadau. Kama kichwa kijielezavyo hapo juu, ninaomba msaada kwa anayejua soko la kuuza asali. Ninayo asali kwa wingi ya nyuki wakubwa lakini tatizo ni soko sijui niipeleke wapi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
100g - 3000,250g - 7500, 500g - 15000. Karibuni. Weka oda yako mapema mzigo unaupata kwa wakati..Mikoani pia nasafirisha. Zimepakiwa kabisa.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza eneo la karibia heka 2 karibia Kigongo ferry-Mwanza liko barabarani,bei ni sh 10,000,000.mawasiliano 0758708286
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Ukubwa wa Kiwanja : 20 × 18 ( Sqm 360 ) • Kina hati ya Serikali ya Mtaa • Kipo Kilomita 1 Kutoka Salasala Mwisho wa rami. • Bei Tsh 8,000,000 (( 0685917621 ))
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Kiwanja Kimepimwa Kina hati. Ukubwa wa Kiwanja ni 3500sqm ( ekari 1 Kasoro ) Kipo Kilomita 2 kutoka Salasala Mwisho wa rami. Bei Tsh 40,000,000/- ( Maelewano yapo ) ((( 0685917621 )))
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu! Naomba msaada wa kupata designer mazuri wa suti lakini pia mshonaji mzuri, Kwa yeyote anayemfahamu naomba unipe taarifa zake kuna offer ya kushona na kudesign nzuri hapa. Ahsanteni...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Kama unaujenzi maeneo ya Dsm na Pwani na Morogoro kwa wale wa Jumla na rejareja na mikoa mingine kwa Jumla tu, jipatie hizo bidhaa hapo juu kwa bei nafuu kabisa. Tunakufikishia mpaka mlangoni au...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
mwasi electronics tuna lekebisha vifaa vya umeme kama tv ainazite redio sabu ufa spika redio za magari ainazotetunafunga mziki kwenye magari tunafunga kamera za ulinzi maoficni godown nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Kama utangulizi unavyojieleza wakuu..mwenye line ya tigo pesa anipm, dau langu 130000.
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…