Wakuu anayehitaji vifaranga vya kuku aina ya Rainbows kutoka Uganda. Kifaranga cha siku moja ni sh 2,500/- na cha mwezi mmoja ni 6,000/-.
Sifa za Rainbows.
1. Wanaanza kutaga wakiwa na miezi 4
2...
Kwa mafundi wa Friji na yeyote mwnye Uhitaji, Ninauza Machine ya friji (compresor na vifaa vyake vyote)
Bidhaa hii ipo kwenye hali nzuri kama Friji lako liliharibika machine yake basi jipatie hii...
Amani kwenu wadau,
Kuna subwoofer aina ya rising na king'amuzi cha star times zipo sokoni anayehitaji anichek pm au mawasiliano 0754669580.
Location: tabata dsm
Subwoofer ina blueooth, aux, fm...
Mzigo wa mtumba First Grade
Zipo HP, Dell, toshiba, lenevo
HP Elite book
HDD 500GB
Core (R) 2 Due
Ram 4GB
Bei 360,000/=
****************
DELL
Core I5
HDD 320
Ram 4GB
Bei 400,000/=
Zipo katika...
Tunakopesha na kuuza sola za manyumani kwa ajili ya kuwasha taa Tv redio ya boom box mashine za kunyolea kwa bei rahisi zaidi kutoka ZOLA nipigie 0654609122 waranty ni miaka 5
Wadau natanguliza shukrani zangu
Nipo Moshi na ninaitaji shamba lenye ukubwa wa hekari 20 za kununua na shamba ilo liwe na maji na lisiwe porini sana
Kwa mwenye kufahamu namkaribisha kwa ajili ya...
Sehemu ni vijibweni...apartment haijawahi kukaliwa ni mpya ujenzi wake umekamilika....
Apartment hiyo Ina master bedroom1,Ina room ya Kawaida,public toilet n'a bafu,jiko,sitting room....Ina...
Laptop aina ya HP inauzwa, ipo katika hali nzuri bado mpya.
Specifications;
Ram 4GB
HDD 500GB
processor i3
DVD RW
WEBCAM
WiFi
windows 7, 64 bit
Any serious buyer call/txt 07546*****
location...
Nahitaji kununua nguruwe wachanga wa kununua ili nifuge ila nguruwe hao wasiwe nje ya Mkoa wa pwani wilaya ya kibaha pamoja na chalinze pia Mkoa wa morogoro wilaya morogoro mjini
we sell genuine pc coponents from mother boards ,processor , RAM etc. our shop is located at Mwanza Lumumba street.
Currently we have coffee lake processors core i3 , kaby lake processors core i3...
Wanajamvi naomba msaada, naomba kkufahamu je DREWA kwa square mita moja inapigwa kwa Tsh ngapi na nyumba yenye room tatu,sebule, dinning ..inaweza kost tsh ngapi upigaji wa rangi na pia nje?