[emoji736] Ndio ni suruhisho la wajasiriamali[emoji736]
Ni mashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga..
Gharama ya mwezi mmoja ni Tshs 20,000/= kwa ajili ya...
Natafuta kiwanja cha wazi cha kupanga au eneo liliowazi kwa ajili ya kufanyia biashara ya mbao inaweza kuwa hata mbele ya nyumba, maeneo ya kigamboni visiwani centre, Ngoma au kinyerezi...
JIPATIE BODA BODA KWA BEI POA. TSH 1,650,000 TU.
NI ZA 150CC NA 125CC.
WAHI PROMOTION HADI TAREHE 30.04.2018.
WARRANT: MWAKA MMOJA.
SERVISE: MIEZ 6 BURE
MAFUTA KIDUCHU MWENDO MREFU( LITA 1...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Nyumba inapangishwa Arusha maeneo ya Olasiti.Nyumba ni Self contained ina vyumba Vinne,kimojaaa ni master, dining,jiko,sitting room,Choo na bafu...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
Habari. Hii ni chuma unayoweza kuanikia nguo ndani au kwenye balcony kwa wanaoishi maghorofani na ukakikunja ukiwa haukitumii. Pia inawafaa wanachuo wanaoishi hostel na kamba za kuanikia nguo ni...
Habari wadau....naomba mwenye kujua sehemu ninayoweza kununua vifaa vya keki kwa bei rahisi ya jumla nifanye biashara hiyo.Mwenye kujua msaada anijuze plzz. Vifaa mbalimbali kama vya kuchsnganyia...
Fowarded from REVOCOM DELIVERY
Power banks za 10000mAh,5000mAh nk
Wireless mouse for 15k only
Oraimo,concord na infinix fast charger Original na durable for 14k only
Dual flash drive zinazoingia...
Umesikia kuhusu vyakula vya Nigeria, umeona kwenye Tv au mitandao ya kijamii.. Hii ni fursa ya kipekee kuja na kuonja misosi mbalimbali ya Nigeria ndani ya Dar es salaam.