Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habar... ninauza Nissan patrol yangu kwa bei rahisi sana. Lakin pia kama una gari ndogo ambayo uko kwenye hali nzur tunaweza kuelewana tu. Gari ina tatizo kidogo kwenye bodi so inahitaji repairs...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nyumba ni mpya, ina miaka miwili tu toka imejengwa. Location: pugu (kinyamwezi) Plot size: sqm 1600 ( 40×40) Three bedrooms (one of them is master bedroom) Dining room, sitting room, public...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Habarini wanaJF, Kama heading inavyosomeka. Hisa za kampuni ya TFA zinauzwa, zipo hisa 960 na kila hisa moja ina thamani ya Tshs 10,000/= Kwa yeyote anayehitaji, please just PM Me tuongee..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jf L8 Lite 5-Inch IPS (1GB Ram, 16GB ROM) Android 6.0 Marshmallow, 8MP real camera+ 2MP front camera, ina support games zote kubwa,fast browsing, Kwa upande wa juu Kulia Ina crack...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari! Modem ya Tigo inauzwa Tsh.12000/=tu,mawasiliano 0673269820.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu. Nipo hapa kwa niaba ya jamaa zangu walio na kikundi chao kinachohusika na ufugaji nyuki kwa ajili ya asali. Kwa msimu wa mavuno wa mwaka huu unaotarajiwa kua na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza viti vya ofisini, unaweza kuvipandihaha juu na kushusha, vingine unaweza ku tilt back, bei kuanzia, sh 150000.Contact 0712652110 Majohe Dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dell ya Aina hiyo inahitajika Urgently, Ram 4GB, Processor 1.5 na HDD 500GB. Nicheki kwa namba hii faster; 0759534596
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wakuu habari zenu?? Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Ningependa kujua ni sehemu gani kwa hapa Tanzania naweza kupa hiyo Fuel pump ya Vokswagen Touareg, iwe mpya au used?? Nipo Dar es...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam. Ninauza nyumba yenye vyumba vinne viwili ni master sebule kubwa 16sqft dining jiko na servant room jikoni. Nyumba haijafanyiwa fining ndogo ndogo Pia nyumba ina garden, shamba dogo (incase...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Poleni na majukumu! Nahitaji hii machinel..je ntaipata wapi?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata msaada wa soko la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
0 Reactions
21 Replies
10K Views
brand : hp Processor: intel core i5 6440HQ Ram : 8 gb Storage : 1 tb Graphics card : nvidia gforce gtx 960m 15 .6 " hd screen. Price 1m 0769 524 022 mobile 0784 81 25 19 watsup. Used...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu mwanajamii, kutana na jopo la mafundi waliobobea katika masuala ya rangi za majumba, katika uchanganyaji, ku design pamoja na kufanya skimming. Kazi zetu ni za uhakika, hasa tunapo fanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie unlimited data ya mwezi mwaka miezi 3 mwezi mmoja Km unahitaji huduma hii nitafute WhatsApp' no 0625672871 Internet hii INA speed hadi mb 5 kwa sekunde tumia wew hadi GB 20 kwa siku ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa mwenye kuhitaji bidhaa hiyo nitafute kwa bei poa kabsa. Zipo za kutosha
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Nauza vitenge org na handbags za kisasa.. Deliver ipo kwa dar na mikoani natuma Call or whatsapp 0688 557 500
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Iko Wazo-Mivumoni Dar es Salaam. Iko ndani y6a gate inajitegemea na kuna wapangaji watano kila mtu anajitegemea kwa kila kitu japo ndani ya gate moja. kuna parking ya kutosha magari manne. kila...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau, Mimi natumia kingamuzi cha star times tangu vimefika ila sasa ujio Wa vingamuzi Vingi unanifanya niwe na ham ya kujaribisha vlinguine. mimi Sina hobby na Mpira ila napenda sana world news...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Amana bank ni benk inayofuata misingi ya kiislam ambapo hukopesha bila kutoza riba kama uislamu unavyoamrisha. Bank hii inakopesha bila kubagua dini kwani inatoa huduma kama bank zingine...
4 Reactions
169 Replies
55K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…