habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
Natafuta Kiwanja Dodoma, kuanzia ukubwa wa 450 sqm
Ofa: Mil. 3.5 had 4, Kiwanja kiwe kimepimwa
Maji na umeme viwe karibu, barabara (daladala) iwe inafika.
Pasiwe mbali na mjini (Isizidi km 15)...
Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina...
Habari wadau;
Napenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo maalum yatakayotolewa katika ofisi zetu zilizopo Dar es Salaam.Mafunzo haya pia yanapatika katika mfumo wa Private study ambapo...
COMPANY NAME: MUGETA FARMS
TRADEMARK/BRAND NAME: VICTORIA FINEST
KUHUSU BIASHARA:
Mugeta Farms co. ltd ni kampuni changa (startup company), kwa sasa inajihusisha na value addition ya dagaa...
Wakuu, Nina rafiki Yangu yupo USA Sasa ana mpango wa kununua chai kutoka Tanzania. Yeye pia Ni Mtanzania ila yupo
kule tangu akiwa mdogo. Kwa hyo kaniambia anataka kununua kutoka kwa wakulima wa...
Habari wadau natafuta pc 2 za kununua (HII NI KWA WALIOKO MWANZA TU)
Pc hiyo Iwe complete yaani Monitor, screen, keyboard, mouse na nyaya zake, Iwe na Ram 2 Gb na kendelea hard disk kuanzia gb...
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuomba "request for quotation" ya vitenge vya kigoma, khanga, res materials, makenzi, n.k Kwa ambaye ni mfanyabiashara au anapenda kufanya biashara na anauwezo...
BlackBerry passport kwa ajili ya spare inauzwa..imeharibika connector za keyboard kwenye motherboard..ukiweka motherboard nyingine inafanya kazi vizuri tu mkanda wa keyboard bado mzima kabisa...
Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga...
Habari wakuu,nina ndoto za kufanya ukulima na ufugaji kuwa ndio ndoto yangu ya maisha,changamoto kubwa ni wapi nitapata mafunzo ya ukulima na ufugaji kwa muda wa miezi,mwaka mmoja au miaka...
NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health
(TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019.
TTCIH...