Kariakoo Online ni unlocking server inayo uza factory network unlock codes za simu mbali mbali kwa kutumia IMEI namba ya simu.
Pia tunafanya calculation za unlock codes za nokia Sl3 kwa kutumia...
Kwa mwenye uhitaji wa mafuta ya alizeti yasiyo na kemikali yeyote na cholesterol free kutokea Dodoma yanapatikana kwa bei nafuu ya Tzs 66000/= kwa lita 20. Eneo yalipo ni Dar KARIAKOO na...
tunauza mbegu za maboga kavu na zilizokaangwa kwa jumla na rejareja.
Package ya 1kg sh.9000
Package ya 500g sh.5000
Unaletewa popote ulipo kwa gharama zako.
Tupigie kwa 0629992942
Karibuni
Vyuma vimekaza mwenyewe anarudi shamba
Anauza kabati la vyombo lipo vizuri la mbao bei 200,000/=
Kabati la nguo mbao tupu lina milango yake ila alijafungwa so itahitaji upate fundi aifunge iyo...
Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,
tupo kariakoo mtaa wa lindi...
Habari za Majukumu wadau wa jukwaa hili. Ninaomba kwa yeyote anaye fahamu Wanunuzi au soko la Korosho Kwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani au Morogoro anifahamishe. Naomba pia nipate mawasiliano ya...
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018.
Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema...
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari...
Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano...
NANE NANE SPECIAL OFFER
Kwa wale wanao hitaji huduma ya graphic design, mfano unahitaji logo
Banner,
Flyers,
Bronchures,
Stickers,
T-shirt design and printing.
Nitafute sasa nina ofa yako...
Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema...
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM (INSTITUTE OF LANDS DAR ES SALAAM) INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA NA UMMA KWA UJUMLA NAFASI ZA MASOMO YA ASTASHAHADA NA...
Naomba kujulishwa kwa Dar naweza kupata wapi hivi vifaa vinavyotumika kwenye restaurants kuhifadhi joto la chakula (food warmers). Nataka inayotumia gas na inayotumia umeme.
LG 49" LED TV Full HD
MODEL
EU Series LH510V
Screen Size 49
VESA
Vesa Size 300x300
DIMENSIONS - WXHXD (MM)
Size W/O Carton, W/O Stand (Including SOUND BAR) 1108*657*81.5
Size W/O Carton, With...
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu.
Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili...
Habari wakuu?. Poleni kwa kuwa off-air kwa hizi wiki 3, kiukweli maisha yalikuwa magum bila JF.
Ok shida yangu ni kuuliza wapi nitapata mashine ya kutotoresha vifaranga yaan 'incubator'. Nahitaji...