MSAADA WANUNUZI (SOKO) LA KOROSHO.

MSAADA WANUNUZI (SOKO) LA KOROSHO.

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
622
Reaction score
1,732
Habari za Majukumu wadau wa jukwaa hili. Ninaomba kwa yeyote anaye fahamu Wanunuzi au soko la Korosho Kwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani au Morogoro anifahamishe. Naomba pia nipate mawasiliano ya yao/ofisi. Nahitaji mnunuzi serious sana maana ninao mzigo wa kutosha.
Natanguliza shukurani.
 
Kama kuna uwezekano wa kutuma nje ya nchi sawa
Kapicha please
 
Nitakutumia picha, ila sijui unamaana gani kuhitaji picha. Yaani huijui Korosho au unaangalia ubora kwa picha ya Korosho ghafi! Kama huko unalo soko kuwa serious tuongee terms za biashara. Kila mtu anapenda kuuza nje ila tu baadhi ya mambo hayajakaa sawa. Uwe serious basi
 
Nisamehe
Nitakutumia picha, ila sijui unamaana gani kuhitaji picha. Yaani huijui Korosho au unaangalia ubora kwa picha ya Korosho ghafi! Kama huko unalo soko kuwa serious tuongee terms za biashara. Kila mtu anapenda kuuza nje ila tu baadhi ya mambo hayajakaa sawa. Uwe serious basi
 
Habari za Majukumu wadau wa jukwaa hili. Ninaomba kwa yeyote anaye fahamu Wanunuzi au soko la Korosho Kwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani au Morogoro anifahamishe. Naomba pia nipate mawasiliano ya yao/ofisi. Nahitaji mnunuzi serious sana maana ninao mzigo wa kutosha.
Natanguliza shukurani.
Unazo tani ngapi?
ni za daraja gani?
 
Back
Top Bottom