Pamoja na faida nyingine lukuki kama kuongeza maziwa kwa mama wanaonyonyesha, kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, inapunguza chance ya kuugua magonjwa ya moyo, kansa n.kKwa taarifa 😛ia zinaongeza nguvu za kiume.
Haswaaaa hapo utapata wateja maana nilichokoza naona wewe umegombana kabisa.Pamoja na faida nyingine lukuki kama kuongeza maziwa kwa mama wanaonyonyesha, kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, inapunguza chance ya kuugua magonjwa ya moyo, kansa n.k
[emoji3]Haswaaaa hapo utapata wateja maana nilichokoza naona wewe umegombana kabisa.
Cc: wanaume wa Dar.
Mtag Bae wako aje kula Mbegu [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3]
Eeeeh na huyu kashawahiwa?Mtag Bae wako aje kula Mbegu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haahaaa sio wa dar tu hata wa mikoani pia zinawafaa kwa ajili ya familia[emoji3]