Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye nayo aweke bei hapa tuone kama tunaweza kufanya biashara.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za mshughuli wakuu, kwa kuwakilisha tu kama kuna mtu anashughulika na lorry za mchanga, kokoto na kadhalika maeneo ya mwasonga kigamboni aje hapa kuna kazi zinahitaji trip za mchanga (lorry...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nauza glasa cover ya screen ya macbook pro laptop.Cover ni mpya kabisa ipo kwenye box lake. Nicheki DM tufanye biashara. Bei ni 90,000. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari zenu wadau, Ninauza shamba zuri na tambarare liko karibu sana barabara.Linauzwa Kwa Shilingi za Kitanzania milioni kumi lakini maongezi yapo pia.Shamba liko Kimbiji kwa Morisi...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha MAJI ya kunywa cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu katika imani na ndugu zangu katika Adam leo ni siku ya jumatano ni siku ambayo hutumia kuelekeza aina ya dawa fulani kwa wenye matatizo fulani...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Habari wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu, hivi ninawezaje kupata mavazi ya kuvuna asali? Wakuu habari zenu wote. Ndg zangu naombeni msaada wa kunijulisha wapi naweza pata...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wapendwa habarini za mida, bila shaka mu wazima wa afya njema, ninauza laptop dell imetumika kwa mwaka 1 na mienzi 5 iko katika hali nzuri... Ninaiuza kwa sababu nina shida ya pesa ,,, Napatikana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu inshaallah tunaendelea na mfululizo wa kuchambua na kuangalia baadhi ya nyota na tabia zake.Hapa tunaangalia watu wenye nyota hizo wanatabia gani katika mapenzi...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Habar za kazi wadau,kuna cover nzuri za Biblia zinazotengenezwa kwa vitenge ,cover hz unaweza ukazifua zikichafuka bei ni 6000 kwa siz kubwa na size ya kati ni 5000/na size ndogo 4000 kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Pata Business card yako at 50,000/= tz sh. 100 pcs Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Tafadhali wadau kama unafahamu duka la jumla la vifaa vya michezo michezo naomba unijulishe.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya. Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Natafuta ofisi ambayo nitainunua ikiwa complete na kila kilichopo ndani yake. Msaada pplease. Kwa walio serious tuu. 0737045354
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza macbook air kwa bei poa Year:2015 Size:13 inches Processor:core i 7 Ram:8GB Storage:512GB SSD Cycle count :71 No scatch new condition Bei: 2Million(fixed) Mobile:0752960458 Sent using...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pr̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈ï̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈c̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈ë̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈: 50,000/= Tsh...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
] Inafanya kazi ipasavyo. ] Haina tatizo lolote. ] Betri inahitaji kubadilishwa. ] Going very cheap. ] SPECS : 3GB RAM : 320GB HARD DRIVE : 15.6" HD DISPLAY : HDMI PORT : VGA PORT : 4 USB PORTS ...
1 Reactions
2 Replies
793 Views
Habar wakuu... Nahitaji refrigerant sealant kwa ajiri yakuzibia Coils zina leakage nimechoka kuongeza gas kila mara... Mwenye nazo anicheck.. Nipo Tegeta 0675-425-148 Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari zenu wakuu. Naweza kupata wapi mashine ya kutengeneza chaki na designer wa vifungashio yaani mabox ambayo ni printed tayari. Nawakilisha.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…