Habari , nauza fridge ndogo, bei ni 250,000/- . Fridge linafanya kazi vizuri halina shida yoyote linatumia umeme kidogo sana , naliuza sababu nimepata jingine kubwa. Lipo kinondoni mkwajuni Dar es...
Habari wanajukwaa,
Mashine ya kokoboa na kusaga inauzwa kwa bei ya haraka ikiwa na vitu vifuatavyo;
-Kinu cha kukoboa roller 3. ( bodi za chuma ni zile nzito)
-Kinu cha kusaga Number 75.
-Mota 2...
Mimi nikijana mjasiriamali elimu.
Naomba mtu yeyote kwa hapa Dar pembezoni mwa mji mwenye jengo ambalo linaweza kufaa kufungua kituo cha mafunzo ya watoto wadogo chekechea na day care tuwasiliane...
Nauza health fitness tracker kwaajili ya afya, mazoezi na notifications. Kazi zake:
-Inapima mapigo ya Moyo.
-Inapima pressure ya damu.
-Inapima kiwango cha Oxygen katika damu.
-Inahesabu hatua...
Je,,...unasumbuliwa na matatizo ya kodi. Hujui ufanyeje..?
Umefungua kampuni huna mtu Wa kukupa ushauri Wa kibiashara..? Au wakukufungia mahesabu yako ya mwaka..? Wa kukutumia returns zako za...
Habari zenu wakuu?
Kama kinavyoeleza kichwa cha habari.
Nahitaji kofia 20 za mahafali za kukodi kwaajili ya watoto wadogo wa Nursery. Kofia ziwe nyeusi na ziwe nzuri kama za watu wa chuo...
*MASHAMBA YANAUZWA WILAYA YA MKURANGA NA BUNGU-MKOA WA PWANI*
Je una ndoto za kua mfugaji wa Kuku,Mbuzi,Ngo'mbe n.k au kua mkulima katika mazao ya biashara ya muda mfupi kama vile Matikiti...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mtaalamu wa fani ya sayansi na teknolojia ya usindikaji wa chakula (BSc. Food science and technology) kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (graduate). Natoa huduma...
Habari Ndugu zangu wana Jamii
Nakuja mbele zenu kama kijana mwenzenu nkitafuta frame ya kufanyia biashara ya stationary katika maeneo ya Vyuo Vikuu hapa mjini Dar es Salaam.sitaki chumba kikubwa...
kwa anaehitaj,ninauza led tv aina ya aborder 32 ,ni full hd ina kioo cha protector ipo na hali nzuri sana kwani ninaitumia mwenyewe,pia nina simu aina ya Tecno Camon X ni mpya na ni nzuri kwa anae...
Habari ndugu zangu.
Mimi Sakumi N. Gabriel mkazi wa Mbeya leo tarehe 6.10.2018 nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda Mbeya na basi la Premier Line.
Nilipofika Iringa mjini nimeibiwa begi...
Habari za kazi wana JF?
Kwa wale wenye shida ya kusafirishiwa magari yao kwenda mikoani au hawana uzoefu ma safari ndefu wanahitaji kusaidiwa karibu niwahudumie nina uzoefu wa miaka 4 katika...