Mashine ya kukoboa na kusaga inauzwa

kerai

Senior Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
189
Likes
67
Points
45

kerai

Senior Member
Joined Oct 28, 2013
189 67 45
Habari wanajukwaa,

Mashine ya kokoboa na kusaga inauzwa kwa bei ya haraka ikiwa na vitu vifuatavyo;
-Kinu cha kukoboa roller 3. ( bodi za chuma ni zile nzito)
-Kinu cha kusaga Number 75.
-Mota 2 za kusaga na kukoboa Horse power 30 kila moja.
-Wiring system nzima yaani pamoja na socket zake zote, nyaya, main switches.

inauwezo wa kusaga tani 8 mpaka 10 kwa siku.

Bei yake ni Million 8 na mazungumzo yapo.

Tunaweza ingia pia makubaliano kwa mtu anayehitaji kuikodisha ili kufanya kazi.

ipo dar es salaam.

Ipo kwenye Godown kubwa kama utaamua kuendelea kufanyia biashara hapo kodi imelipwa mpaka mwezi wa 6.

Nipigie tuzungumze 0769630209.
 
Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
524
Likes
612
Points
180

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
524 612 180
Habari wanajukwaa,

Mashine ya kokoboa na kusaga inauzwa kwa bei ya haraka ikiwa na vitu vifuatavyo;
-Kinu cha kukoboa roller 3. ( bodi za chuma ni zile nzito)
-Kinu cha kusaga Number 75.
-Mota 2 za kusaga na kukoboa Horse power 30 kila moja.
-Wiring system nzima yaani pamoja na socket zake zote, nyaya, main switches.

inauwezo wa kusaga tani 8 mpaka 10 kwa siku.

Bei yake ni Million 8 na mazungumzo yapo.

Tunaweza ingia pia makubaliano kwa mtu anayehitaji kuikodisha ili kufanya kazi.

ipo dar es salaam.

Ipo kwenye Godown kubwa kama utaamua kuendelea kufanyia biashara hapo kodi imelipwa mpaka mwezi wa 6.

Nipigie tuzungumze 0769630209.
Weka picha kiongozi
 
Forum statistics

Threads 1,189,736
Members 450,798
Posts 27,645,707