Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba...
0 Reactions
51 Replies
2K Views
Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia. Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba. Location kituo cha...
2 Reactions
5 Replies
521 Views
𝗕𝗠𝗪 𝗫𝟯 Mwaka 2014 Engine 1990cc-Diesel Rangi Pearl White Mileage 57,000km Bei 48,500,000 tsh 📌M-Sport 📌Genuine Leather Seats 📌Push to Start ☎+255626682228
4 Reactions
13 Replies
652 Views
Imeuzwa
0 Reactions
7 Replies
393 Views
Imetumika kwa mwezi mmoja tu,imenyooka.Njoo na 350K tu.piga au WhatsApp namba 0769618684
1 Reactions
4 Replies
330 Views
Shamba lenye ukubwa wa eka 20 linauzwa lipo kijiji cha Mbwawa karibu na Mlandizi wilaya ya Kibaha. Lipo karibu na chanzo cha kudumu cha maji(mto) ambao haukauki. Linafaa kwa shughuli za kilimo...
0 Reactions
7 Replies
731 Views
BRIGHT AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 1. Bussiness Proposal/Plan, 2. Katiba za Vikundi, 3. Cover Letter na CV/Resume, 4. Website Content, 5. Barua za Wadhamini, 6...
3 Reactions
7 Replies
833 Views
Habari wakuu nauza kiwanja kipo tegeta. kimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile kituo cha polisi cha tegeta mita mia kutoka kituo hiko. pia kimetazamana na chuo cha MZUMBE na shule ya...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada.
2 Reactions
10 Replies
676 Views
Wakuu, Habar za leo mabibi na mabwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku Kuna pooltable linauzwa bei ni maelewano liko vizur lipo mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Unasumbuka na nafasi ndogo nyumbani? Umekuwa ukitamani fanicha ambazo hazichukui nafasi kubwa lakini bado zinapendeza na kudumu? Afro Eco Wood Designs imekuletea suluhisho: fanicha za kisasa zenye...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
#rent LUXURIOUS 2 BEDROOMS FURNISHED MODERN APARTMENT FOR RENT 🫶🏻Location:: MIKOCHENI 3 Bedrooms 🛌 All Bedrooms Are Ensuite 2 Bathrooms 🛀 ✔ Sitting room 🛋 ✔ Kitchen 🍳 ✔ Public toilet 🚽 ✔...
1 Reactions
16 Replies
780 Views
#furnished 3BEDROOMS (FULLY FURNISHED) APARTMENT FOR RENT IN DAR-ES-SALAAM Tz LOCATION -MIKOCHENI ______________ RENT PRICE USD $2000 PER MONTH 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
0 Reactions
3 Replies
324 Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
454 Views
Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa...
3 Reactions
11 Replies
872 Views
• Direction: Mbezi Luis. Mwendo wa miguu mpaka Magufuli Terminal • Condition bado mpya • Features: -sefukontena ya vyumba vinne -nyumba ya mtumishi ya chumba sebule -fremu 2 za duka -choo...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Freezer lita 280 800k Dsm 0718909429
1 Reactions
6 Replies
592 Views
Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama...
2 Reactions
5 Replies
382 Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho...
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Habari wanajamii forum napenda kushirikiana na nyinyi kitu kimoja hasa watu makini kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology. Nina safari ya kuja Kilimanjaro kipindi...
1 Reactions
0 Replies
218 Views
Back
Top Bottom