Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tsh225,000/= 12gb Nakupa na charger yake Haina tatzo Cont:0655028881
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jamii? Katika ulimwengu wa kisasa inapendeza sana kama mtu ukiwa na business card ambayo itakua rahisi kwako wewe kumpa mtu mawasiliano yako hasa katika biashara au mawasiliano ya...
6 Reactions
29 Replies
9K Views
PS 2 🎮 🎮🎮🎮 Kutoka Zanzibar IPO inauzwa Bei 180k Unapata pad mbili Na flash 8gb na ina game la mpira FIFA 🔥🔥🔥 Kama vp njoo inbox tufanye business.... Location: Dar
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Kwa mahitaji ya kujengewa nyumba bora tafadhali nipe kazi ili upate nyumba bora na sio bora nyumba. Kwangu mimi ninajenga nyumba za wenye kipato cha chini cha kati na kipato cha juu. Uaminifu kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo Kigamboni, Kibugumo, ni mwendo wa dk 5 hivi kutoka barabara kubwa ya lami, bei ni 13 Milioni. Aliye interested aje PM nitampa namba yangu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana km mjuavyo kimfaacho mtu chake nina cherehani ya kisasa(inatumia umeme pia) inashona tu haidarizi haijawahi kutumika ipo katika hali nzuri tu bei maelewano naamini hatuwezi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari za leo wadau. Ninahitaji kufungua Duka la vyombo vya Nyumbani. hivyo naomba kwa yeyote anaefahamu Maduka yanayo uza vyombo kwa Jumla kwa Dar es salaam anielekeze. Ukinitajia na Mitaa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hii ni ofa maalum kwa wafanyabiashara Unapatiwa website ya wordpress yenye domain pamoja na hosting kwa mwaka mmoja kwa gharama ya shiling 35000 tu njoo pm tuyajenge
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Msaada Wapi naweza kununua simu kwa bei ya jumla?
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Habari za jion wapendwa natumaini ni wazima wa afya. Naitaji mapambo Kama ya gari hii kuanzia ilo bampa la juu na izo bampa za pembeni kuazia taili ya mbele na ya nyuma na pia bamba la nyuma ilo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Iphone 7 plain Mattblack 32gb 2gb ram camera 12mp Mpya kabisa haijatumika hata kidogo na inakuja na accessories zote Naiuza kwa bei ndogo tofauti na bei yake halisi ya dukani. Kama unahitaji dm me
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Nyumba zipo √Tegeta √Mbezi √Kunduchi √Ukonga √Gongo la mboto √Mbagala √n.k PIA UNAWEZA PITIA PAGE YETU YA INSTAGRAM #PROSSTZ.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa gari nzuri, yenye ubora, yenye kudumu na ya gharama nafuu karibu sbt Tanzania office tutakusimamia uagizaji wa gari yako na hadi inafika mkononi mwako bila tatizo lolote kwa mda mwafaka siku...
1 Reactions
30 Replies
11K Views
Tablet samsung galaxy tab 10.1 iko sokoni Iko vizuri sana Bei 350k Mazungumzo yapo kidogo Karibuni sana Contact 0787101726 Au ni pm
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mnaokaa dar anayejua duka lenye bei rafik kwa sim OG tajwa. Iwe nyeusi.
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Vifaranga wa kuku wa kuroila wa mwezi mmoja kwa sh 5000 na vifaranga wa miezi miwili kwa shilingi 7000 wanapatikana, na mayai kwa sh 10,000 kwa wingi kabisa weka Oder yako mapema 0754826041 na...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari wana jf Natafuta vitu vifuatavyo kwa bei nafuu kwa ajili ya biashara ya chips Shelf la kioo Flypan Jiko Meza ya mbao Na viti Kama unavyo na unataka kuuza njoo pm
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo eneo nzuri Bei sh. Milioni 45 tu Mazungumzo yapo Call 0717751644 Kwa mnunuzi tu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
TOYOTA NOAH Year 2002 Drive 4wd Grade X G-SELECTION Engine capacity : 1990cc Seat 8 ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI : 10.9mil {unaweza kufanya malipo awamu mbili} MALIPO YA...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Nauza mafuta halisi ya alizet yasio changanya na chochote yanapatikana kwa bei nafuu sana lita 5 kwa tsh16,500/= mafuta haya ni halisi kutoka singida, kwa hapa dar napatikana mwenge na mbezi beach...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…