Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu husika na kichwa hapo juu Nahitaji Bajaji namba B isiwe imechoka isiwe imefunguliwa injini shokapu iwe nzima haijachomewa bodi na siti viwe sawa Mawasiliano Njoo na bei yako
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza mayai ya kisasa trey Tsh 7000,ukichukua trey 50 free delivery, ukitaka chini ya hapo tunaweza ongea
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Hii ni pack ya robo kilo au 250gm ni £2.75 Tesco Supemarket Sainsbury’s pack ya nusu kilo au 500mg ni £7.00 Wazee wa fursa kwa jina la healthy food Holland and Barrett 200gm ni £3.99...
5 Reactions
78 Replies
13K Views
Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Plot ipo salasala kizudi majengo, ukubwa mita 25 kwa 20 Bei 12ml Kwa mawasiliano zaidi na kuja kuona simu no:- 0756060183
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ambae anacho used range of laki 3. Chenye hali nzur tu 0713099309 dar
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Wanajamii Forum. Kama inavyojieleza kwenye kichwa , Ninauza Kuku Wa Kisasa Wenye uzito zaidi ya 1kg, ni wazuri, wazito na tayari kwa nyama. Ninao kuku 500. Bei ni 5500 Tshs. ., ila kwa...
2 Reactions
0 Replies
725 Views
Poleni na majukumu wana JF Msaada unahitajika Ni Kiwanda gani kinatengeneza Mabati Mazuri?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mjasiriamali na mfugaji haswa wa mbwa. Nauza mbwa wa breed tofauti tofauti hasaa German shepherd na Rottweiler, pia ukitaka BoerBoel na Pitbull wapo pia, napatikana Dar, na mkoani...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu bei ya hizi simu na wapi naweza kuzipata jijini Dar es salaam. Nashukuru sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Simu Aina ya tecno W4 ipo Katika hali nzuri, 16gb Mega pcs 8.0 ram 2gb Location, ubungo Contact 0758290320/0659650727 N:B, bei maelewano.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Karibuni sabuni za maji, kwa bei ya jumla na rejareja Sabuni ni nzito na yenye povu la kutosha, haipaushi nguo wala kuchubua mikono Matumizi Kufua, Kuosha vyombo Magari Usafi wa ndan na choo...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Looking for space, comfort for office rent,shops,residence and students hostels business? This is the perfect place for you This place is in a Fantastic Location, located at Chang’ombe, Temeke...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
LOOKING FOR SPACE, COMFORT FOR OFFICE RENT,SHOPS,RESIDENCE AND STUDENTS HOSTELS BUSINESS? THIS IS THE PERFECT PLACE FOR YOU This place is in a Fantastic Location, located at Chang’ombe, Temeke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika kwa miezi sita, bado ipo katika hali nzuri sana, bei yake ni 250000, haishuki Napatikana makumbusho-Dar es Salaam Mawasiliano- 0759158357
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari Wanajamii Forum. Kama inavyojieleza apo Juu, Ninauza Kuku Wa Kisasa Wenye uzito zaidi ya 1kg, ni wazuri, wazito na tayari kwa nyama. Ninao kuku 500. Bei ni 5500 Tshs. ., ila kwa mteja...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji gari ndogo, cc 1300 max, iwe ya mwaka 2003 au baada, pia iwe pistone 4 (vitz, passo, suzuki, n.k). Budget yangu ni 5m max! Karibuni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu... tafadhali
0 Reactions
25 Replies
5K Views
wakuu habari zenu, me niko dar, natafuta bajaji ya kununua kwa mtu, used lakini ambayo bado ipo vizuri. Naomba kujua bei tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…