Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wanaohitaji mbegu za nyanya ambazo sio hybrid (F1) yaani za kawaida, zinapatikana sasa. Bei ni tsh.10000 kwa mbegu nzima 1000. Sehemu ni pugu/kigogo fresh Kwa wanaohitaji njoo inbox kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ascendant perfume bomba ya kiume haina harufu Kali ni nzuri sana na bei yake nzuri pia Tshs 99000 tu, piga 0757277543
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta mtu anayeuza pikipiki naitaj kununua
0 Reactions
30 Replies
9K Views
SLIM MATE BLACK HP LAPTOP, 4GB RAM, HDD 500GB, Core i3.. Price 450,000... call/text 0717251751
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1. -Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 -Bei Milioni 4.8 Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano -Viko viwanja viwili...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Ninauza viwanja viwili vyenye ukubwa wa 22*24 Bei Tsh 4,000,000 M@. Serious buyer njoo inbox. N.B. havina hati. Utaprocess wewe mwenyewe.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cardet! Cardet! Cardet! Za kijanja Size kuanzia 30-36. Za Kuvutika na Zisizovutika pia hazipauki kirahisi. Delivery Popote Pale kwa Dar City centre ni Free ila tofauti na hapo Unachagia 2000. Na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza kiwanja kipo chamanzi mfenesin nyuma ya kota za mzungu ukubwa ni 48/43/40/30 kipo pazuri mnoo nakimepakana n barabara 2 za Mtaa ukiitaji ni call kw0 0719220334 bei ni million 2.8 tu
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Ninauza viwanja viwili vyenye ukubwa wa 22*24 Tsh 4,000,000 M@ Serious buyer njoo inbox. N.B. havina hati.
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Do you have an innovative business Idea? Are you currently looking for full time support to help you launch your startup? We are offering a limited slot to few aspiring and budding entrepreneurs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AGIZA GARI NASI AUTOCOM JAPAN-gharama nafuu|ubora Hali ya juu Toyota Noah | 2003 cc 1990 | 2wd ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka usajili--10.5mil Kisaka...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
AGIZA GARI NASI AUTOCOM JAPAN-gharama nafuu|ubora Hali ya juu Toyota Noah | 2003 cc 1990 | 2wd ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka usajili--10.5mil Kisaka...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza ni wap kwa hapa Tanzania naweza kujifunza Lugha ya kiingereza na nikaelewa vizuri kukizungumza kwa ufasaha? Na bei zao zikoje na ni kwa muda gani naweza kujifunza...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
habari! je unamiliki biashara yoyote hata kama ndogo iwe ya duka la madawa,duka la nguo au biashara yoyote ile,sasa tunatoa offer ya mwisho wa mwaka kwako tunakutengenezea website yako kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Poleni na majukumu wana jamvi! Nina kiasi cha laki tano, ninaomba kujuzwa juu ya aina ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri na ninaweza kuinunua kwa hela niliyonayo. Niko Dar es salaam...
0 Reactions
28 Replies
16K Views
Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi. Lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami. Bei maelewano
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello guyz!... Msaada tafadhali kuhusu hili, nimeona company ya kutengeneza ream papers from Kenya, kiwanda kinaitwa JKT Global Products Limited Kenya. Ila sijaweza kujua jinsi ya kumpata Supplier...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mashamba makubwa yanauzwa mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa eneo la Msowelo,kwa mwenye kuhitaji naomba ani PM tafadhali
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari, sabuni za maji zinapatikana kwa bei poa ya sh.7000 tu Ni nzito sana, nzur kwa matumizi ya usafi kwa ujumla Kufua nguo Kuosha magari Haichubui mikono Weka oda yako uletewe mpka nyumbani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…