Wakuuu nauza samaki sato na kambale bei Tsh 7000 kwa kg napatikana dar es salamaaa kuanzia kilo 2 nafanya delivery ndani ya dar es salaaam karibuni sana
Eneo: Mkokozi
Wilaya: Mkuranga
Bei: Square Meter 1 - 12,000
Viwanja vipo mpakani kati ya Kigamboni na Mkuranga.....Kutoka daraja la kigamboni ni km 17 tu.
Viwanja vimepimwa yaani ukinunua moja...
Kwa mahitaji ya traffic kwenye blog/website kutoka nchi yoyote duniani, tuwasiliane:
Traffic ni real users kutoka social media
Traffic inasoma kwenye Google analytic
Kuza rank ya blog yako Alexa...
Habari wana JF
Niko Marekani na nataka order za wafanyabiashara wa mitumba.
Container la 20ft viatu vya kike na kiume mchanganyiko wa raba, mocasin na vya mitoko ya jioni ya wanawake
Pairs...
Nina machine ya photocopy IR 3300 saa hii kitu imevunjika kama kuna mwenye nayo naomba aniuzie,maana sipigi copy kabsa bila ya hii kitu,inaitwa paper deck(sina hakika kama ndio jina lake) ila...
Why Investing In Fumba, Zanzibar?
• Full 99 year title deed granted to every purchaser from all nationalities around the globe.
• Unique seafront location within a free economic zone.
•...
Kwanza kabisa asanteni kwa ushirikiano mkuu mlioonesha wakati nauza apple mac book air kwa promotion ilikuwepo moja na hakuna namna ambayo wote mngepata hivyo kuna mmoja wenu aliongeza dau...
KARIBU UAGIZE GARI KWA GHARAMA NAFUU KUTOKA AUTOCOM JAPAN--(tupo mtaa wa samora Karibu na jengo la Jmall
.
Toyota Probox |2004
2wd |cc1490
Grade-GL
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••...
Jamani Mwenye kufahamu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla plz naomba anifahamishe,nimefanya juhudi ya kutafuta lakini sikufanikiwa nikaona nije humu jf huwenda nikafanikiwa.
Sent from...
Nauza Unga Wa muhogo,bei ya kilo moja ya Unga Wa muhogo safi ni shilingi elfu moja tu,na umepakiwa katika Vifungashio Vya kilo tano tano kama inavyoonyesha picha hapo chini,tunatuma mikoani,namba...