Joram Kapama
Member
- Dec 30, 2018
- 9
- 0
.
Ko mkoani utakunywa maji ya kwenye MtungiNahamia mkoa hivyo nauza baadhi ya vitu.
Water dispenser yenye fridge ndogo iko vizuri kabisa kwa TShs. 100,000/-
Nahitaji kuhama na vitu vichache vya muhimu....niko na fridge...hiyo ntanunua huko badae
Tayari picha nimewekaTungepata na kapicha ingependeza sana mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Angalia picha ya pili ...ndo yenyewe hasa
Bei ya mwisho 100,000/-
Waweza nidm namba yako nkakutumia picha zaid WhatsApp