BrazakakaBura
Member
- Feb 16, 2017
- 88
- 104
Kwanza kabisa asanteni kwa ushirikiano mkuu mlioonesha wakati nauza apple mac book air kwa promotion ilikuwepo moja na hakuna namna ambayo wote mngepata hivyo kuna mmoja wenu aliongeza dau nikamuuzia yeye [emoji120][emoji120]
Sasa nakuja na hii simu Samsung Y7 pro mpyaaa unaifungua mwenyewe na kuistart mwenyewe nauza 300k tu haipungui,,
Na kama kuna mtu anaetaka kitu kipyaa kwa bei rahisi asisite kunicheki kwani kuna watu nafahamiana nao tutawezeshana