G Giannis Antetokounmpo Senior Member Joined Jan 16, 2017 Posts 134 Reaction score 65 Dec 31, 2018 #1 Nahitaji double cabin na budget yangu ni 8 mpaka 12 million. Top... Mwenye nayo aje inbox chapu
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Dec 31, 2018 #2 Like seriously? Nzima kabisa na inapiga mzigo fresh ama ambayo ipo backyard imewekwa juu ya mawe haina hata betriii. I joke too much acha niende hivi one time 😁😁😁😁😁
Like seriously? Nzima kabisa na inapiga mzigo fresh ama ambayo ipo backyard imewekwa juu ya mawe haina hata betriii. I joke too much acha niende hivi one time 😁😁😁😁😁