mtwa kinte
Senior Member
- Sep 2, 2015
- 144
- 261
Wanangu wa gheto meza inauzwa 45,000 tshs. Inafaa kwa kusomea au kuitumia jikoni. Ipo dar Kijitonyama.
Ukiweka na usafiri hapo duuh...pesa ndefudah usafiri tu tatizo...mi naihitaji hyo meza