Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wana jamii forum habari za mda huu.. Kutokakana na uchumi kukaza natataka nijiajiri kuwa dereva bajaji.naombeni ushauri kuhusu hii biashara. Pia naomba kujua bei ya bajaji used na bajaji mpya...
0 Reactions
32 Replies
46K Views
wakuu habari za muda huu! TMG AFRICA inakuletea semina ya mafunzo ya utengenezaji wa sabuni za magadi na za maji za aina zote. mafunzo hayo yatafanyika kila siku ya jmosi na jumapili katika ofisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello wana jukwaa. Mimi ni mwanamke Natafuta mfanyakazi wa kike wakumwangalia mtoto wangu. Kazi yake itakua kumwangalia mtoto mmoja tu. Mtoto wangu sio msumbufu Wala Sina kazi nyingi kwangu na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Gari aina ya Brevis namba B linauzwa..Gari lipo katika hali nzuri kabisa... Bei ni milion 8.5 ila maongezi yapo... Kama unania ya kununua gari hilo unaweza kuwasiliana na mmiliki wa gari husika...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Bei ni 450k Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye modem ya universal 4g aje tufanye biashara tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
623 Views
ipo Arusha PM me.
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Habari zenu? Husika na kichwa cha habari Nipo dar es salaam Nauza novels za watoto wa rika zote Bei ya novel moja ni Tsh 3,000/= Ukichukua package ya novels tano bei ni Tsh 10,000/= Karibuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza natunguliza shukrani za dhati kwa jukwaa hili pamoja na wadau wake wote kwa ujumla kwani limenisaidia sana, biashara zangu zote nazofanya nilianza kuja kwanza hapa kwenye hili jukwaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mhuri wa kugonga kwenye karatasi, nipo Dar maeneo ya Bunju, nahitaji kutengenezewa asubuhi ya Tar 3.1.2019 kama wewe ni fundi nicheck 0719626377 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam. Ndugu wana jf, Mimi no mjasiliamali Niko katika wilaya ya Kyela ninahitaji kununua line ya M-PESA kwa yeyote anaye uza.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HTC DESIRE 825 Slim phone Network 4g | Ram 2gb Display 5.5'' | storage 16gb Camera 13Mp Led Flash | Selfie 5mp Android Os 6.0 | Battery 2700mAh Condition used | no any scratches Bei 230000/=...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Habari member wa JF, Nauliza hizi sofa za chuma zinatengenezwa wapi kwa hapa DSM, naona kama ni ngumu zaidi kudumu kulinganisha na zile za mbao, Msaada please. Nimeweka na picha ya mfano
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Nauza simu yangu niitumiayo kutokana na shida ya kipesa inayonikabili. Ni Samsung a8 ya 2017. Storage GB 32 Camera MP 16 Battery mAh 3050. Simu ina mstary wa kucrake kidogo sana kwa juu bt...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu upatikanaji na gharama za mashamba ya kununua katika mkoa wa Morogoro hasa kwa maeneo ya ifakara,mahenge,malinyi,itete,mang'ula na maeneo mengine kuacha wilaya hizo.naomba msaada...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu habarini za jioni? Naomba msaada kwa anayefahamu haya maeneo huko kigamboni kwenye viwanja. Nawezaje kufika huko?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+ pia kama kuna...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu msaada, nmekwama inabidi niuze huu mzigo, tusaidiane, simu ni nzima kabisa kama inavoonekana kwenye picha. Ni 128 gb 700,000 Tzs 0713408996
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mashine ya kupimia gar yenye uwez ya kupima mifumo mingi kama (abs).air bag)sio engine tu pekee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
year 2004 cc 2500 price 5.5 mil call 0712607003 serious buyer only car in mint condition. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…