A Albizo JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 284 Reaction score 208 Jan 2, 2019 #1 Wakuu habarini za jioni? Naomba msaada kwa anayefahamu haya maeneo huko kigamboni kwenye viwanja. Nawezaje kufika huko?
Wakuu habarini za jioni? Naomba msaada kwa anayefahamu haya maeneo huko kigamboni kwenye viwanja. Nawezaje kufika huko?
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 Jan 2, 2019 #2 Kwanza nenda kigamboni ukaulizie huko bila utapata majibu Sent using Jamii Forums mobile app