Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Toyota HARRIER |2005 Engine-2360cc |2wd Grade-240G Colour Black Other option-AW RS FOG NV ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka usajili--26mil Kisaka...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Inahitajika C.P.U inahitajika kwa haraka uwezo wa HDD iwe na ukubwa wowote ram 2gb speed 2.9 ghz Napatikana dar kama unayo njoo pm
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Nyumba inauzwa ipo kinyerezi dar es laam kiwanja kina hati nyumba ina vyumba 4 vyumba 2 master stingroom daining jiko bei milioni mia 130,000,000 maongez yapo kwa maelezo zaidi 0658720137 Sent...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ubora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria. Karibu Jeri...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza samsung note 2 bei 200000 na tecno camon cm 300000 ina miezi 2 tu chagua unayotaka hapo bei kitonga sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwenye kiwanja anauza bajeti yangu 4milioni aje pm.... Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza mayai ya kuku chotara,bei trei Tsh 12,000.nipo Dar es salaam.mawasiliano 0652199902 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Wakuu Salama. Ni wapi naweza kupata mashine za kusindika youghurt kwa hapa Dar. Na bei zina range kuanzia mgapi mpaka ngapi? Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu muda mrefu umepita natangaza kuuza hili gari, lipo vizuri mno, yaani ukijaza petrol unatembea kona yoyote hapa bongo bila shida. Nina ukwasi tu wa kifedha, nisaidieni kunitua huu mzigo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Kikuyu karib kabisa na Chuo cha st John , Kiwanja kina nyaraka zote kama hati za serikali . kinauzwa 16.5mil. Kipo karibu na barabara . KARIBU Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iphone 6 GB 16 Bei K400 nipo morogoro mjini 0712650183 Simu nzima haina tatizo lolote
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Ina vyumba vinne, sebule, kubwa dining,jiko,stoo,imeezekwa msuoth,,mwenye kuhitaji anichek, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
3K Views
HAKIKA PLAN Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga. Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili. a)Hakika 5M...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu kwema?? Nashida na kioo (display) ya Laptop aina ya Lenovo Z575 Inch 15.6 mwenye nacho anicheki. Bei iendane na hali halisi ya uchumi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho. 3 km barabara ya kwenda bonyokwa ni chumba, sebule jiko na choo ndani. nyumba ina alluminium windows, maji, feni tiles gypsum, Sipo ndani ya fensi..100,000 kwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Machine Wahl zipo 3 @50, 000/= 2. Stelilizer 150, 000/= 3. Feni la juu 50,000/= Maongezi yanaruhusiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu mambo vipi? jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam Wakuu kama ww ni mpenzi wa hizi short timberland au unauza kwa rejareja njoo nikuuzie kwa jumla mzigo ni grade A, zipo kama 40 hivi kama tukikubaliana utakuwa mteja wangu kila nikifungua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari za mapumziko ya weekend. Napenda kuwatambulisha kampuni yenu ya huduma zifuatazo -Air ticketing -Reservation -Airfreight -Seafreight -Clearing and forwarding -Bond ware house Huduma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunatoa huduma zote zinazo husiana na logistics kama ifuatavyo : > Sea and Airfreight clearance > Export clearance - Sea & Air > Warehousing > Transportation - Bei zetu ni rafiki - Tunafanya...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…