Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

INSURANCE

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
13
Reaction score
2
HAKIKA PLAN
Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga.
Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili.

a)Hakika 5M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa(Inpatient limit) Tshs.milioni 5 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 400,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tahs.500,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 295,600/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 339,940/= umri wa miaka 35-49
-Tshs 489,940/= umri wa miaka 50-64

b)Hakia 10M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa Tshs.milioni 10 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 600,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tshs.800,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 399,343/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 459,244/= umri wa miaka 35-49
-Tshs 609,244/= umri wa miaka 50-64

*List ya hospitali kwa bima hii imeambatanishwa
*Kujiunga tunahitaji
-Picha mbili za passport size
-Kitambulisho kwa watu wazima
-Utajaza fomu ya kujiunga
Karibuni sana

Kwa maelezo Zaidi
Njoo pm
 
Attachments

NHIF wamekuja na bima mpya ya mwananchi kwa famikia watu 6 sh 125000.
Tatizo bima zenu unaenda kutibiwa unaambiwa pesa ya kumuona daktari imeeisha au pesa za dawa zimeisha.
Halafu kuamisha za in patient hairuhusiwi na hapo una miezi 6 tuu ya matibabu.Utapeli mtupu.Kuweni kama NHIF hakuna kikomo cha huduma ukomo ni mwaka wa matibabu ukiisha
 
Una uhakika na unachokiongea?,usiweke siasa kwenye maisha ya watu, fuatilia mambo kabla ya kuongea ndugu.
 
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NHIF wamekuja na bima mpya ya mwananchi kwa famikia watu 6 sh 125000.
Tatizo bima zenu unaenda kutibiwa unaambiwa pesa ya kumuona daktari imeeisha au pesa za dawa zimeisha.
Halafu kuamisha za in patient hairuhusiwi na hapo una miezi 6 tuu ya matibabu.Utapeli mtupu.Kuweni kama NHIF hakuna kikomo cha huduma ukomo ni mwaka wa matibabu ukiisha
Iko kwenye mpango au imeshafika? Nijuavyo hata ile ya TZS 76800 kwa mtu mmoja imefutwa ijekuwa TZS 125000 kwa watu 6?
 
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app[/
 
Du nyie TBL nao mmezidi nasikia mliwapa hasara wakawapandishia bei mkakimbia acha kudanganya watu
 
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana na asante kwa kushare nasi, ni vema kuambizana kuhusu watu wasio waungwana ili na wengine wasipate matatizo yao.
 
HAKIKA PLAN
Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga.
Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili.

a)Hakika 5M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa(Inpatient limit) Tshs.milioni 5 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 400,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tahs.500,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 295,600/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 339,940/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 489,940/= umri wa miaka 50-64

b)Hakia 10M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa Tshs.milioni 10 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 600,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tshs.800,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 399,343/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 459,244/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 609,244/= umri wa miaka 50-64

*List ya hospitali kwa bima hii imeambatanishwa
*Kujiunga tunahitaji
-Picha mbili za passport size
-Kitambulisho kwa watu wazima
-Utajaza fomu ya kujiunga
Karibuni sana

Kwa maelezo Zaidi piga
+255757930069 (Whatsup)
Hizi bei mmeziokota wapi
Insurance ya Afya au maisha
Mtofautishe kati ya mwajiriwa na asiye mwajiriwa na kipato cha mtu sio kuweka bei tu vile mkaona ni fursa
WaTz wengi ni wakulima kuliko wafanyakazi na wafanyabiashara
 
HAKIKA PLAN
Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga.
Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili.

a)Hakika 5M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa(Inpatient limit) Tshs.milioni 5 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 400,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tahs.500,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 295,600/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 339,940/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 489,940/= umri wa miaka 50-64

b)Hakia 10M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa Tshs.milioni 10 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 600,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tshs.800,000/= kwa mwaka

*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 399,343/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 459,244/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 609,244/= umri wa miaka 50-64

*List ya hospitali kwa bima hii imeambatanishwa
*Kujiunga tunahitaji
-Picha mbili za passport size
-Kitambulisho kwa watu wazima
-Utajaza fomu ya kujiunga
Karibuni sana

Kwa maelezo Zaidi piga
+255757930069 (Whatsup)
Hii HAPANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu unaweza kueleza kidogo juu ya kadhia iliyokupata dhidi ya resolution?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom