Sehemu bora kwa service ya gari lako

Sehemu bora kwa service ya gari lako

Jeri carwash

Member
Joined
Mar 29, 2018
Posts
17
Reaction score
38
Ubora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria.

Karibu Jeri Car Wash & Service leo,tuifanyie ukaguzi gari yako,tuitolee ripoti na ushauri na iwapo kuna tatizo tukutengenezee na kukushauri aina za vilainishi ama service nzuri ya gari lako.

Tunapatikana Barabara ya Shekilango,Pembeni ya Bar ya Hongera na Karibu na Chuo cha Ustawi.Sinza Dar es salaam.

huduma zetu ni bora kabisa na haraka pia tuna sehemu ya kupumzikia unaposubiri gari lako
Mawasiliano - 0757 999904

50100451_1976876392361268_6892541808247573352_n.png
 
Gharama ya kufanya services ni sh ngapi??

Na gharama ya kucheki gari husika ka lina tatizo ni sh ngapi..ni bora tujue mapema labla hatujafunga safari nzima ya kuja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama ya kufanya service mkuu inategemeana na gari pamoja na majibu ya check up,lakini pia kucheki tatizo la gari husika kwa sasa ni bure hadi mwezi wa pili hivyo hakuna gharama ya kufanyiwa check up na ushauri.

Karibu
 
Gharama ya kufanya services ni sh ngapi??

Na gharama ya kucheki gari husika ka lina tatizo ni sh ngapi..ni bora tujue mapema labla hatujafunga safari nzima ya kuja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ogopa sana unapofichwa bei halisi ya service yoyote ile, Kawaida ya biashara ni kuanika kila kitu wazi then ukipendezewa ndipo mnaanza kujadiliana namna gani mpunguziane kwa mfano..tairi moja ni Tsh 100 pamoja na EFD risiti na bila basi unaomba akupozee iwe Tsh 90, sasa hii ya kukutaka ufike gereji kwanza ndipo muongee imekaa kiswahili sana
 
chief unaweza kutoa gharama ya kumtibu mgonjwa bila kuonana nae,kuna tofauti kati ya huduma na bidhaa service ni huduma...nikikupa bei bila kujua tatizo ni aidha ntakuibia ama utaniibia.
 
Ubora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria.

Karibu Jeri Car Wash & Service leo,tuifanyie ukaguzi gari yako,tuitolee ripoti na ushauri na iwapo kuna tatizo tukutengenezee na kukushauri aina za vilainishi ama service nzuri ya gari lako.

Tunapatikana Barabara ya Shekilango,Pembeni ya Bar ya Hongera na Karibu na Chuo cha Ustawi.Sinza Dar es salaam.

huduma zetu ni bora kabisa na haraka pia tuna sehemu ya kupumzikia unaposubiri gari lako
Mawasiliano - 0757 999904

View attachment 993774
Samahani mkuu naomba kujua mm nahitaj kununua gar na ndo ya kwanza na kipato chang n cha kati unanishauri nianze kununua gari aina gan na kwasababu zip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa sana unapofichwa bei halisi ya service yoyote ile, Kawaida ya biashara ni kuanika kila kitu wazi then ukipendezewa ndipo mnaanza kujadiliana namna gani mpunguziane kwa mfano..tairi moja ni Tsh 100 pamoja na EFD risiti na bila basi unaomba akupozee iwe Tsh 90, sasa hii ya kukutaka ufike gereji kwanza ndipo muongee imekaa kiswahili sana
Mkuu kwani service inahusisha tatizo moja.. ? Kiasi cha kuweka bei.. mfano kuangalia break ni 25,000/- . Je tatizo likiwa umeme?

Mambo mengine ni kujiongeza unafika ofisini kwake kama ni utapeli unaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu naomba kujua mm nahitaj kununua gar na ndo ya kwanza na kipato chang n cha kati unanishauri nianze kununua gari aina gan na kwasababu zip

Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kukushauri unatakiwa kujua kwanza mwenyewe unahitaji kitu gani na kwa sababu gani ukishapata njoo nitakupa tabia na sababu ya kununua kwa eneo lako na matumizi yako.Asante.
 
Back
Top Bottom