Nyumba inauzwa,mln 20,tu,

Nyumba inauzwa,mln 20,tu,

rangi imechoka, piga msasa fanya painting upya piga picha then iposti tena
 
Mbona kama inaufa hapo kibalazani?mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyumba imechoka sana halafu huo mkoa ni wachawi sana hutapata mteja labda uilete Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
nyumba nzuri hii mbona bei ndogo??
rangi imechoka, piga msasa fanya painting upya piga picha then iposti tena
Ilete mbezi mkuu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah ningeinunua shida imepakwa rangi ya maji aisee.

Daah aisee!! Kweli ukileta utani kuna wenzako wanajua kutania zaidi[emoji2] [emoji2]

ILa punguza bei bwana, nyumba yenyew haijapakwa hata rangi unauza bei hiyo. Vyuma vimekaza mkuu utakosa wateja miaka nenda rudi oohhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom