Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanajamvi habari zenu? Naomba kuleta kwenu taarifa hii ya kupotelewa na leseni yangu ya udereva namba 4000549027. Ninaomba mdau yeyote kama ataiona mahali anipigie namba 0679663661 ili anisaidie...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wana JF Point of Sales hii ni Software ambayo inafanya record za mauzo yako ya kila siku,ina fanya record ya bidhaa zilizo stock, inatunza kumbukumbu za bidhaa zinazotoka na kuingia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Camera hii nimeamua kuuza bei nafuu sana ukilinganisha na bei kliyopo sokoni hivi sasa. Yani mtu akipita tu eneo ambalo umeweka hii camera, pale pale camera inamkamata na muda huo huo inakutumia...
4 Reactions
164 Replies
23K Views
Wadau mi ni mgeni hapa Tanga, nimehamia kikazi, ivyo natafuta chumba na sebule, ikiwa self ni nzuri zaidi, 0768859089 natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Ninatafuta chumba kiwe na choo ndani na kiwe kikubwa au chumba ,sebule na choo ndani pia luku iwe ya kujitegemea . Eneo! Kuanzia ubungo mawasiliano hadi mwenge . Phone 0657366601 Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Ninatafuta chumba kiwe na choo ndani na kiwe kikubwa au chumba ,sebule na choo ndani pia luku iwe ya kujitegemea . Eneo! Kuanzia ubungo mawasiliano hadi mwenge . Phone 0657366601 Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Habari wakubwa wenzangu naitaji RAM ya laptop 4GB pia nikipata bei nzuri naweza kuongeza hadi 8GB nipo Dar
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Buguruni, Banana, ubungo , Tabata au eneo lolote lilochangamka NB: sitaki fremu za uchochoroni nataka sehemu iliyochangamka kama unayo PM eneo na bei yake. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinahusika, nimehamia Dar rasmi mwaka huu. Kuna sehem nimefikia kwa muda ila mwishoni mwa mwezi huu (January) nitahamia tabata barakuda, nina mpango wakurudia mtihani wa kidato...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shukurani za dhati zimwendee mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya njema, Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali. Ndugu yenu ziloi leo kafanikiwa pia kufungua ofisi mpya ya nguo za kiume dodoma tofauti...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Hizi mashine sijui zinaiitwaje Mimi najuwa mixer mashie, kwa wapishi wa keki wanazifahamu sana basi mashine inauzwa laki 320.000 tunapatikana kariakoo Dar es salaam nakushauri kama upo Dar na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Inauzwa nyumba ya kisasa Location:BUNJU A KWA BAHARIA Price:90m maongezi yapo. Imepimwa na ina hati. Title deed. 3bedroom 1masterbedroom Dining,public toilet,kitchen, Maji na umeme vipo IPO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna aina ya mawe yanatumika kutengenezea terrazo yanaitwa marble chips, nilikua naomba kama kuna mtu anafaham yanapouzwa maeneo karibu na kimara, anisaidie na bei yake. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushauri juu ya huu mzigo una gram 100 ,zote zinazidi gram 3 na kubwa ina gram 22,Naingia sokoni mnanishauri niombe bei gani kwa gram inayoendana na soko halisi.kwa pink na green .
2 Reactions
18 Replies
18K Views
Tunauza na kufunga mitambo ya ulinzi na usalama ya kisasa na yenye standard za ubora wa kimataifa kama British Security Industry Association. Mitambo yetu ni full automatic yani ukiwashwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jipatie subwoofer ya kijanja #pinetch yenye spika 3 kwa bei ya laki195,000 inatumia kilakitu Bluetooth, flash, memorycard, DC na Ac , rimont yaaan full kujiachia PIGA 0677423349 warrant mwaka 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jf,natafuta nyumba ya kupanga arusha kati ya sakina au morombo inaitajika ndan ya wiki hii yaan( single selfu-chumba,sebule,jiko,choo na maji na umeme visiwe vya kushea)...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji flat screen bajeti yangu ni 25o K niko dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
588 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…