VVT-I SENSOR

VVT-I SENSOR

ntiluhungwa

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
79
Reaction score
59
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila nikipima kwa diagnostic machine napata code hii P1346 ambayo ni code ya vvt-i sensor bank 1 kwahiyo nimeshauriwa kufunga vvt-i sensor mpya mwenye nayo tuwasiliane kwa namba hii 0625998457 ikipatikana moshi au arusha itakuwa vizuri zaidi.Zingatia hili kuwa sihitaji iliyotumika
 
50 km wtf. Itabd uwe unachange kila baada ya km 50. Je unajua ukiweka mpya itakaa kwa km ngapi? Inawezekana kuna sababu inayosababisha hyo kitu ife, na sisuala la upya au uchakavu. Naoma niulize hao mafundi uliowapelekea gari unawaamini kweli? Coz mafundi vishoka ndiyo huwa wanayapa ubovu magari.
 
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila nikipima kwa diagnostic machine napata code hii P1346 ambayo ni code ya vvt-i sensor bank 1 kwahiyo nimeshauriwa kufunga vvt-i sensor mpya mwenye nayo tuwasiliane kwa namba hii 0625998457 ikipatikana moshi au arusha itakuwa vizuri zaidi.Zingatia hili kuwa sihitaji iliyotumika
Kwenye ulimwengu wa Repair...Kwanza lazima ujue why imekufa!.kama tatizo lipo ata ukiweka mpya itabutuka tu.Tafuta fundi anaejua..sio wote wanaojiita mafundi wanajua ...Automotive Electronics na ata Ya vifaa vya majumbani na simu hapa Tanzania ni changamoto sana .ni wachache sana wanaojua na wapo makini.hapo utaangaika na kupoteza hela zako na pengine kuharibu engine ya gari yako kabisa.mtafute member wa JF anaitwa Lenge.Kwenye haya matatizo ya umeme magari pasua kichwa kama la kwako nampaga 100%.
 
Naomba namba yake
 
Unachokisema ni kweli maana kila nikisoma code ya P1346 ni vvt-i lakini maelezo yanajikitika kwenye waya sasa hawa mafundi niliowapelekea hawajawahi kuangalia wiring.
 
Back
Top Bottom