Gari imenyooka, haina cheni. Njoo na fundi ukague uondoke na mchuma.
Engine 2l Desel
Seat 15 inaingia mpaka watu 18-21
Mawasiliano -0654846084
Gari ni manual
Iko mbezi
Sent using Jamii Forums...
salaam,
Nyumba inapatikana PUGU, majohe
Ina vyumba vitatu (master inclusively)
Eneo ni sqm 600
Ina tiles, gypsum na aluminium windows (ila si madirisha yote)
Nyumba ipo ndani ya fensi
Bei: 35m...
Domain name Registration Promo ndio hii hapa. Jipatie Domain name za
.com, .net, .info, .org kwa bei ya TZS 7000/= kwa mwaka.
Unapata na business Email bure kabisa unaponunua domain [...
Natafuta makampuni, shule, watu binafsi wa kufanya nao kazi kwa mkataba kwa kazi za computer maintenance and repair kama ifuatavyo:-
1: kufanya service zote za computer zao
2: ku repair computer...
Wasaalam,
Kwa mbaye ana mzigo wa karoti naomba ataje kwa gunia anauzaje na wapi alipo mimi nipo Dar,
kama muuzaji/mkulima atapatikana Arusha itapendeza sana
Nauza computer aina ya hp na kioo cha dell
Specication zake ni kama zinavyojielezea hapo chini
Hard disk 500GB bei ni 285,000/= ila mazungumzo yapo
Na bado ipo katika hali nzuri
Karibu
Sent...
Habari wana jukwaa, ! Kuna mdau anatafuta tractor (anataka kununua) aina tajwa hapo juu ambalo lipo katika hali nzuri! Kama unulo nichek PM
Sent using Jamii Forums mobile app
*NYUMBA INAPANGISHWA SINZA* Nyumba inapangishwa sinza karibu na barabara. Ina vyumba vitatu kimoja master full tiles vyoo vya nje. Vyote unatumia mwenyewe. Maji yapo na umeme unatumia mwenyewe pia...
PATA MABATI YA MSOUTH ( YA AINA ZOTE) YENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU HADI SITE USAFIRI NI BURE KWA MAWASILIANO ZAIDI. PIGA 0758038496, 0652681438
Sent using Jamii Forums mobile app
AFRO TECH office solution
tunatoa huduma za ufundi(repair) na maboresho(maintenance) ya vifaa vya maofisini na stationeries. Vilevile tunafanya network configuration kwenye photocopier pamoja...
*Hp 250 Inahitaji pesa ya haraka*
Very slim and newly conditions
Hdd750gb
Ram 8gb
Dual core
Bei 490,000/= tu.
Karibu dukani kwetu.
Loc Dodoma Tz
1. Karibu na Azam rambaramba
2. Udom Social...
1. SIMU ZA MEZANI (New models)
Mawasiliano 0716277365
Bei ni sh 115,000/= tu, zinaingia laini yeyote (single line), betri ya kuchaji(Inatumia chaja ya kawaida), fm-radio, inapokea na kutuma sms...
Pata dagaa Nyasa sh.15,000/= kwa ujazo wa kisado cha Lita tano na unaletewa hadi ulipo Kwa waliopo ndani ya DSM, pia kama unahitaji Kwa Jumla tunakukaribisha.. mawasiliano piga au sms 0712903435...
DELL latitude E5520 core i3 3330m 2.20Ghz
8gb ram
500gb Hdd
Inter Hd graphics 3000 2gb
15.6" Display size
HDMI port
1394 port
Backlit keyboad (keyboad inawaka taa usiku au kwenye giza)
5hrs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.