Sasa tupo Dodoma.

Sasa tupo Dodoma.

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
757
Reaction score
1,065
Shukurani za dhati zimwendee mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya njema, Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali.

Ndugu yenu ziloi leo kafanikiwa pia kufungua ofisi mpya ya nguo za kiume dodoma tofauti na ile ya mwanza. Hii inatokana na juhudi zangu za kujinyima mengi katika dunia hii. Pia kuungwa mkono na mafiki mbali mbali kwa kuendelea kuamini bidhaa zetu.

Ndugu zangu wa dodoma pamoja na wageni wanaokuja dodoma nawakaribisha sana ili tupate kukuhudumia.

Mahali tulipo ni Barabara ya 10. karibu na peter palm hotel, Ukifika ulizia mafundi wa kushona suit za kiume na nguo za kike ( Bea Tailoring Enterprises) duka letu linapakana na hapo na ni duka jipya.

Fika nikuhudumie ndani ya hizi siku 10 za mwanzo mimi ziloi na kama utakoswa hitaji lako unaweka order tunakuagizia hitaji lako unalolitaka na kuja kuuchukua baada ya mzigo kufika (Mahitaji ya kiume tu).

Fursa kwa kijana (Ke/Me) mmoja: Kama unahisi una ujuzi wa kuuza vitu vya kiume na unauwezo wa kujitangaza wewe kama wewe na mjuzi katika mitandao ya kijamii fadhari njoo tuongee. PM

KARIBUNI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom