Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana JF. Nipo na simu yangu aina ya NOKIA N70-na sifa hizi, inauzwa color:Silver White. 2GB Memory Stick. 3hours talking time-i test it. Original Made in Germany No problem detected till now...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wale ambao wako tayari kusubiri ndani ya miezi 16 ili waweze kupata fursa ya kununua Apple iPhone XS Max 512 GB Gold Color mpya kabisa yenye thamani ya $1,500 kwa kulipia TZS 225,000 (USD 90)...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Kwa ushauri wa kisaikolojia kwenye mambo mbalimbali WASASILIANA NAMI 0714769777 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
HABARI WOTE kama kichwa cha habari kinavyo sema kama umevunjika au ndugu ya ko amevunjika tumia dk15 kumponesha kumponesha sehemu yoyoteile ya mifupa ilio vunjika tunatumia mitishamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu wana wa JF Mashine hiyo inaiwezo wa katakata nyama na kupasua mifupa kwa haraka na wepesi Ni mashine inayo tumia umeme. Ninaiuza ikiwa haina obovu wa aina yoyote ile kwa Tsh...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari!mimi nilikuwa naomba msaada wa wapi naweza kijifunza kuoka mikate na maandazi maana nilikuwa napen da kuja kumiliki bakery yangu...please Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
870 Views
Nyumba inapatikana mbezi juu, kituo cha makonde. Nyumba ina vyumba vinne (ikiwemo viwili master bedroom) Vyumba vyote vina kabati za kuhifadhi nguo. Nyumba inajitegemea kwenye kila kitu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari great thinkers, Nyumba yenye flem za biashara inauzwa ipo maeneo ya kinondoni B mkabala kabisa na kituo cha mwendokasi SIFA ZA NYUMBA -Ina hati miliki halali -Ina flame saba (7) za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tunapenda kuwatangazia shule, taasisi kwamba tunatoa punguzo la bei kwa vifaa na chemicals za shule katika kipind hiki cha maandaliz ya mitihan.Tunapatika kariakoo mtaa wa muhoro na swahili pia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
XIAOMI REDMI NOTE 2 DUAL SIM Network 4g | Display 5'5 Storage 16gb | Ram 2gb Camera 13mp | Selfie 5 Battery 3030 Simu iko vizuri sana Bei 200000/- Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
538 Views
UFUTA UFUTA UFUTA Ufuta kilo moja shilingi 2,900/= Zimebaki tani 20, Dar es Salaam. (Zinauzwa zote kwa pamoja) Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutana nasi kwa matatizo ya gari yako kwa injector pump and nozzels 0789621377 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
970cc Seat 5 Mafuta Petrol Na Imelipiwa kila kitu. Manufactured 2005 BEI ; 3.9M Kwa mawasiliano zaidi 0767833496(Call) 0622111186(Whatsap) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina mashine ya selcom ipo tu ndani baada ya kufunga kiofisi changu cha tgo pesa bdo mpya tu kwa anaehitaji mawasiliano 0716686118 na 0692928928 naiuza 450,000
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready! Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau kama kuna mwenye gari analiuza tuwasiliane haraka. Town trip car, ndogo gharama isizidi 5m,engine isiwe ilishawai kuguswa kwa namna yoyote ile. Namba D itakuwa vizuri zaidi. Sent using...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauza juice dispenser, ina bucket 2 kila moja ina ujazo wa lita 18. Ipo vizuri, haina dosari yoyote. Bei ni TSh. 650,000/=. Serious buyers you are welcome!. Contact: 0653 118 453. Nipo dar...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar. Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Napangisha Chumba cha biashara nipo mbeya soko la sido bei ni nafuu na kimekamilika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunatafuta wahudumu kwaajili ya Pub yetu iliyopo wilaya ya Nkasi mjini Namanyere wanaotakiwa ni wasichana wasiozidi umri wa miaka 30 tunatoa huduma ya chakula na malazi kwa Wahudumu wetu! Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…