Wapi nitapata T-shirt ya PRAY FOR LISSU?

ukara

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
285
168
Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready!

Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika nitaondoka. Yeye ataondoka. Yule ataondoka. Nasikia hata wewe utaondoka. Endelea kujikunyata kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua. Subiri mafuriko yakukumbe.

Nauliza swali la kizushi. "Nani mwenye hati miliki ya nchi hii?"
 
Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika nitaondoka. Yeye ataondoka. Nasikia hata wewe utaondoka. Endelea kujikunyata kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua. Subiri mafuriko yakukumbe.

Nauliza swali la kizushi. "Nani mwenye hati miliki ya nchi hii?"
Yaani uko bize kwenye keyboard alafu unamwambia mtu aache kujikunyata.
Wewe ni nyumbu.
 
Wakati mwingine nchi inakuwa hadithi. Tunapenda
hadithi kwa sababu ni kuhusu nchi yetu na tunapenda nchi yetu hata zaidi kwa sababu ya hadithi.
 
Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready!

Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika nitaondoka. Yeye ataondoka. Yule ataondoka. Nasikia hata wewe utaondoka. Endelea kujikunyata kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa na mvua. Subiri mafuriko yakukumbe.

Nauliza swali la kizushi. "Nani mwenye hati miliki ya nchi hii?"

Kwa mtazamo wangu, wewe ni muhanga wa ile kitu Mzee wetu Lowasa anasema hii Nchi inatatizo kubwa la Elimu, Elimu, Elimu..
Natamani upate taasisi ya kukusaidia kupata Life Skills Training.ili ujue dhamani ya maisha yako ndio tuendelee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom