Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mimi ni kijana Mtanzania ni dereva na fundi mechanical, nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi nimesoma chuo cha NIT udereva na chuo cha ufundi VETA Niko tayari kufanya kazi popote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kasuku ni app inayoweza kukusaidia katika biashara yako kwan itakua rahisi wateja wako kukupata na pia kwa mteja inamrahisishia kupata number mbalimbali za kampun office,kusajili biashara yako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NYUMBA INAUZWA DESCRIPTION: Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja ni master room,pia ina dinning,sitting,public toilet na parking Eneo lina sqm 2000 zikiwa zimegawanywa sqm 1ooo kwa ajili ya makazi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza Samsung Galaxy tablet S2 9.7" Wifi Only. Ni mpya rangi ni Gold - 550000
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Wakuu naomba kujua bei za mashine za kunyonyolea kuku, aina zake na upatikanaji wake, Asanteni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kujua wapi ninaweza pata kwa hapa Dar es salaam, spare parts za Gari VOLVO XC 90, nahitaji wind screen na engine mounting zote(used or new). Thanks 0717696688, my Number
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kufahamu wapi nitapata spare parts za Mitsubishi. Nahitaji Engine valve na gasket kit yake. Kwa kuwa nimekata sylinder head nahitaji hizo valve zimepinda baada ya timing belt...
1 Reactions
1 Replies
717 Views
Kwa wale wakazi wa arusha karibuni snaa mjipatie mayai halisi yenye ubora, mayai haya ni kutoka kwa kuku ambao wanajitaftia chakula mwenyewe hivyo yanavirutubisho halisi kabisaa Trai moja ni sh...
3 Reactions
0 Replies
995 Views
Dinner table na viti vyake 6 inauzwa. Imetengezezwa kwa mbao halisi za Tz na sio mchina. Ukihitaji unaweza ukanicheki PM kwa mawasiliano. Ipo Ubungo Bei ni 350,000/-
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Nauza simu smart phone j4 new version 2018 Ina mwezi mmoja 2 laki 3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari wanajf natafuta software zifuatazo article instant wizard, au article monster mwenye download link ya crack naomba anipe thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Heloooo.....! Kwa wakazi wa Makambako au Njombe, nahitaji kununua Shamba walao Ekari Moja kwa 700,000/= TSh. Vigezo; Walao liwe jirani na chanzo Cha maji halafu lisiwe mbali Sana na makazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heloooo.....! Kwa wakazi wa Makambako au Njombe, nahitaji kununua Shamba walao Ekari Moja kwa 700,000/= TSh. Vigezo; Walao liwe jirani na chanzo Cha maji halafu lisiwe mbali Sana na makazi ya...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Habarini wapendwa,natafuta sehem ambayo naweza lipia kwa kuweka kibanda changu cha biashara,lakini liwe eneo lenye watu na lenye biashara na liwe dar es salaam ! Nitashukuru,mwenye idea pls...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau ninatafuta mtu anaedili na kukata bodi magari tufanye biashara....mimi nina gari nataka tuongee utaratibu uko vp....gari yangu ni nissan patrol...body imechoka kdg ndio maana nikawaza kuiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Kiwanja changu kipo karibu na shule ya secondary kwala kwenye mrad wa bandari kavu na Ujenzi wa reli .umeme na maji yapo. 70*22 bei million 8 Ukihitaji kipande 22*22 bei 3milion 30*22...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari... nauza laptop aina hp. Shs 200,000. Napatikana ukonga airport... laptop imetumika 2 yrs.. kwa maelewano zaidi na more details njoo inbox 0745865216 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
832 Views
Helloooo!!! Iam back Kuna kitu chochote unauza au kuna kitu chochote unakihitaji?. Je, wewe ni dalali au mfanyabiashara? Ok, Kwenye simu yangu nina magroup zaidi ya 120 ya whatsapp na yote yapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
.....done, thank you all.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari, Mwenye ufahamu na kampuni nzuri ya clearing & forwarding au inayofanya importation services naomba tufahamishane. Gharama ya usafirishaji kwa kutumia meli ni sh ngapi? Kwa Mzigo unaotoka...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…