Bei ya mashine ya kunyonyolea kuku

Bei ya mashine ya kunyonyolea kuku

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,999
Wakuu naomba kujua bei za mashine za kunyonyolea kuku, aina zake na upatikanaji wake,
Asanteni
 
Hakuna anaejua bei ya hii kitu?
 
Mi najuwa dawa yao maji ya moto,yale maji toko toko unamdumbukiza ndani yake ukimtoa humo ata mtoto mchanga anampunyua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom