Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Bila shaka kama huwa unasafiri safiri hasa kwa kutumia usafiri wa magari ya abiria hususani daladala utakuwa ulishakumbwa na adha hii;

Unakuta umekaa zako umetulia whether umechoka ama unawaza mipango yako ama una mitoko yako ama unasikiliza kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.

Hii kero si yangu peke yangu ndo maana nikaileta humu tuijadili na pia watu wa aina hiyo ni vema wakajirekebisha. Kuna siku niliona kaja mmama mtu mzima akajikalia kama mti umeanguka akamkalia mdada wa watu sehemu ya paja hadi kamchubua! Watu kama hao sijui wakikalia ile kitu wanaikalia kwa nguvu hivyo! Wanaume waliozoea kukaliwa na mijitu isiyochukua tahadhari kama hiyo wajihadhari , unaweza ukapindishwa jembe lako!
 
Hahaha kama na wewe umeshindwa kununua gari, bora uwekeze kwenye kula unenepe kiduchu. Manake kama wanakukalia hadi jembe, duuuh!

waulize tu wapo wanaopenda kukalia, kama wewe/wako hajui kukalia jembe siyo mbembeaji.
 
Mweeeh! Ntamleta kwako ili umfundishe jinsi ya kubembea kwenye majembe ya abiria.

kwa hiyo hununui gari kwa sababu unahofia kila mkazi wa dsm akinunua gari hapatatosha? Anga liko wazi, umeshafikiria kununua helicopter kama mchungaji wangu gwajima?
waulize tu wapo wanaopenda kukalia, kama wewe/wako hajui kukalia jembe siyo mbembeaji.
 
Mweeeh! Ntamleta kwako ili umfundishe jinsi ya kubembea kwenye majembe ya abiria.

kwa hiyo hununui gari kwa sababu unahofia kila mkazi wa dsm akinunua gari hapatatosha? Anga liko wazi, umeshafikiria kununua helicopter kama mchungaji wangu gwajima?

siyo kwenye gari bhana
 
Mi hata nikaliwe simind, namind jitu ambalo halitaki kufungua kioo kwenye gari wakati linaharufu ya beberu beberu....

Kumbe na wewe hauna gari kama mimi lol? Maana nilisikia kwamba member wa JF wote wana degree,nyumba na magari.
:focus:
Tabia hizo wanazo sana kina dada wakikaa dirishani hawataki kabisa kufungua vioo kwa kuhofia nywele na mi wigi yao ya kichina itavurugika mie huwa nafungua akimaindi namwambia kama hautaki hewa ungeenda kukaa kwenye siti za nyuma kule huwa hazifunguki vioo.
 
Back
Top Bottom