Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Kuna matajiri wakubwa wanahaha kwenye nyumba za waganga na wauzaji wa madawa ya kienyeji kusaka nguvu za kiume, wanamwaga hadi mamilioni wakipewa madawa ya uwongo na ukweli lakini wapi bado ni kulio tu.

Wote tumeshuhudia hapa wazee matajiri wakifia guest mikononi mwa mabinti sababu ya kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume wanaishia kufa,hiyo yote ni kusaka urijali pamoja na kuwa na mapesa yote.
.
Wanaume wenzangu ukiona unaamka asubuhi mashine inasimama vizuri piga goti mshukuru mungu sana kwa hiyo zawadi kuu yaani huo ni Ufahari mkubwa sana, Starehe kubwa ya mwanaume tokea kuumbwa kwa Adam ni mwanamke, hivyo utajiri wa mali unazotafuta unatakiwa uwe sambamba na utajiri wa urijali maana raha ya kuwa na pesa inahitaji pia uburudike na hawa viumbe tuliopewa zawadi na mwenyezi Mungu.

Hata enzi za manabii akina Suleiman walikuwa ni matajiri kufuru lakini Suleiman raha ya utajiri wake ilikuwa ni wanawake, yote sababu ya urijali, ukikosa urijali hata uwe Tajiri vipi bado utaishia kuwa na stress tu maana utakuta utajiri wako unawavutia wanawake warembo ila kuwatumia unashindwa raha ya huo utajiri unajikuta huioni.

Screenshot_20211113-152203_Instagram.jpg
Hamna kitu kinachoumiza kama mwanaume kama kuwa kwenye mahusiano au ndoa na mwanamke mrembo alafu ukajikuta unashindwa kumkunja kimapenzi ipasavyo kitandani yaani hii kitu isikie kwa jirani huwa inaumiza sana na mara zote unaishia kuwaza kuchapiwa tu na kuwa mtu wa hasira hasira

Screenshot_20211113-153528_Gallery.jpg

Ushauri wangu wanaume tuendelee kufanya mazoezi kula vizuri na tusijisahahu pale tunapopata pesa maana wengi ndio huwa wanaishia kwenye mfumo mbaya wa kula hovyo na pombe kwa wingi mwisho wa siku nguvu za kiume zinapotea unaaza kuliwa hela na waganga kumbe ni lifestyle mbovu,
 
Acha upuuzi wewe hakuna kitu inaumiza kama umaskini ndgu yangu.

Utakula gambe, utakula mjani, utabwiya unga utafanya chochote ukikosa hizo ngumu za kiume na ukawa na doh, ila ukikosa pesa mamame UTASANDA, zaidi zaidi utafirika tu ili upate pesa.
 
Elewa somo utajiri uwe na urijali sasa wewe kuwa tajiri alafu haidindi vizuri utaelewa
 
Elewa somo utajiri uwe na urijali sasa wewe kuwa tajiri alafu haidindi vizuri utaelewa
Weweee utajiri utajiri tuuu.

Kwenye hiyo post yako umevihusianisha utajiri na urijali ndo maana nkakwambia ivo. Na kama sio rijali basi mara nyingi unakua umezaliwa hivo. Sa ukipata pesa kuanza kuuhangaikia urijali ambao hukua nao ni udwazi, we fanya kutafta kingine kitachokupa furaha.

NOTE: Usiufananishe utajiri na mambo mengine mkuu, Pesa imefanya wewe ureply hapa na sio huo urijali.
 
Upo sahihi, uwepo wa pesa urandane na uwepo wa nguvu za kiume. Pesa hufanya watu kubweteka kiafya, junks food kwa wingi na muda wa mazoezi hakuna.
PESA KWA WINGI NA URIJARI MWINGI.
 
Weweee utajiri utajiri tuuu.

Kwenye hiyo post yako umevihusianisha utajiri na urijali ndo maana nkakwambia ivo. Na kama sio rijali basi mara nyingi unakua umezaliwa hivo. Sa ukipata pesa kuanza kuuhangaikia urijali ambao hukua nao ni udwazi, we fanya kutafta kingine kitachokupa furaha.

NOTE: Usiufananishe utajiri na mambo mengine mkuu, Pesa imefanya wewe ureply hapa na sio huo urijali.
Inaonekana wewe umelala yooo"
 
Hakuna kitu nachukia ktk maisha yangu kama kitambi,jamani urijali ndo mpango mzima uwe na pesa au usiwe na pesa mashine iwe active utafaidi sana keki ya taifa, hakuna raha kama kutombre na bado ukawa una hamu ya kuendelea tena na tena kuchakata papuchi ni jambo muhimu sana, tuzingatie afya ya mashine zetu hizi
 
Acha upuuzi wewe hakuna kitu inaumiza kama umaskini ndgu yangu.

Utakula gambe, utakula mjani, utabwiya unga utafanya chochote ukikosa hizo ngumu za kiume na ukawa na doh, ila ukikosa pesa mamame UTASANDA, zaidi zaidi utafirika tu ili upate pesa.
Thumb down..mleta mada yupo sahihi % ,unapataje pesa alafu ukale unga(madawa ya kulevya) alafu ndy ujikute unaejoy??

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu nachukia ktk maisha yangu kama kitambi,jamani urijali ndo mpango mzima uwe na pesa au usiwe na pesa mashine iwe active utafaidi sana keki ya taifa, hakuna raha kama kutombre na bado ukawa una hamu ya kuendelea tena na tena kuchakata papuchi ni jambo muhimu sana, tuzingatie afya ya mashine zetu hizi
Sanaaa
 
Back
Top Bottom