Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Habari za leo.
Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.
Mgombea udiwani Kata ya Kighare akiambatana na Mgombea Ubunge Mwanga Bw. Thadayo walifanya kikao na Waislam Msikitini wakiwaomba wakinusuru Chama.
Kikao hicho kiliangozwa na
#1. Jumaa Kichawele
#2. Mwl. Sadiki
#3. Mwl. Rahimu
Hawa ni viongozi wa BAKWATA pamoja na viongozi wa Msikiti.
Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.
Tunawaomba wafanye siasa zao lkn wasiziingize Msikitini maana tupo waumini ambao si waumini wa Chama chochote cha siasa.
Maendeleo hayana Chama.