Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Kichwa cha habari chahusika.

Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi nilipowaambia watu namtongoza, wakawa wakinikejeli kuwa siyo hadhi yangu.

Tulipomaliza chuo, kila mtu kaenda na mishe zake tukawa tukiwasiliana kidogo kidogo huku niki mu insist bado nampenda sana ila akawa ananitolea nje.

Bahati nzuri mambo yakaniendea vizuri, biashara zikawa hoya hoya nikaanza kumsahau sahau.

Mwezi huu wa 10 mwanzoni, nikawa nimefunga business zangu manzese mapema sana saa tisa, nikaenda ku withdraw pesa benk kwa ajili ya kuituma kwa Western Union ili iende china kwa ajili ya kuleta mzigo. Nilikwenda bank ya CRDB kufanya muamala huo. Kutokana na kiasi cha pesa ni kikubwa kiasi, Nilikwenda ku withdraw ndani na nikaangukia kwa yule mrembo niliyekua nikimpenda. Alikua ndo teller wa kunipa huduma.

Mwanzo aliponiona, alinipokea kawaida tu kwa majibu ya short as usual nikasema isiwe kesi, anihudumie nisepe. Baada ya sijui kusoma balance yangu na kuona kiwango nachotaka ku withdraw, akaanza kunipa tabasamu huku akiniambia, 'Mjina umenisusa siku hizi'. Sikumpa attention sana akanipa changu nikasepa.

Baada siku mbili hivi, akaanza nitext... Kwakua Mjina haringi, basi nilimjibu vizur tu na baadae km siku mbili hivi nilipoona kaniganda sana kwa chatting, ikabidi nirudishe mistari mtoto kajaa nyavuni. Show ikapangwa iwe Jumamosi ya Tarehe****. Kwakua alikua kanitesa sana, nilidhamiria nimpige show ambayo hakuwahi kuipata.

Nilinunua dust of congo kile kichupa cha 40,000/-. Kisha nikawahi Lodge 3 hours before nikapaka dust of congo ya kutosha kisha nikamwagiza jamaa wa uber niliyemkuta pale maeneo akamchukue pale sinza kwa remi amlete Mbezi Beach nilipo kisha nikalala dawa ipenje.

Mtoto alipofika alinipigia simu kisha nikamtuma mhudumu amwelekeze. Akaja tukaoga tukala. Show ilianzwa 1800hrs. Nilipomvua nguo yule mrembo, mwili unanisisimuka kwa urembo wake. Ni mweupe kiasi, ngozi laini, chuchu saa sita yani umbo zuri kama lote. Hiyo sura sauti na nywele ndo usiseme. Nimepiga show, show, show, show bila wazungu kutoka. Ikumbukwe, vumbi la congo linaipa ganzi mashine hivyo ni ngumu kukojoa.

Nimepiga show hadi saa mbili ndipo napata goli la kwanza wakat mtoto kashayapiga ya kutosha. Nimempiga show kutafuta goal number 2 bila mafanikio. Yule mtoto alikua akipata utamu wote hadi akawa akilia 'Mjina kwani ulikua wapi muda wote, kwanini sikujua mapema nikakukubalia'

Kwa hakika hadi tunamaliza show majira ya saa tano, nilikua nimepiga goli moja tu. La pili lilikataa kabisa japo bado nilikua natamani kuendelea. Ilibidi tufunge show maana mtoto alikojoa hadi papuch ikawa imeanza kukauka nikaona namchubua tu bure.

Nili mind sana maana sikumfaidi coz utamu sikupata sababu ya ganzi ya vumbi la kongo. Nilimpa 20,000 yule mrembo na kumpeleka hadi Sinza kisha nikarudi zangu home Mbezi. Vumbi la kongo ni la kijinga na halikupi ladha ya penzi bali mwanamke ndo ana enjoy. Nimelitumia mara moja, na sitokaa nilitumie tena.

Mjina Mrefu...
 
Mwana kapiga shoo kwa vumbi la congo kuanzia saa mbili usiku hadi saa saba usiku bado hajapiga bao..
Kesho yake anaamka viungo vyote vya mwili vinauma hawezi hata kutembea kisa uchovu..

N.b :kama unataka kutumia vumbi la kongo fanya mazoezi ya viungo at least week moja before ili usivunje kiuno na mgongo..
 
:D downloaded from Google images
images (2).jpeg
 
Narudia tena kuwa...sio miaka mingi inayokuja vijana wengi watajuta sana kutumia vumbi la kongo maarufu kama Puturu.

Ukitaka kujua walioathirika watafute wale madereva wa malori ya kwenda kongo, walitumia sanaa miaka ya 2007-2010...leo hii mashine ikisimama akapizi mara 1 anamshukuru Mungu.

kilichobaki ni kusaidiwa tu kazi kwa wake zao na heshima ya ndoa hakuna.

fanya utafiti mkuu...!
 
Mkuu hujui mechanism of action ya vumbi la congo..
Lile vumbi linatia ganzi ya muda kwenye ngozi ya mashine na wala haliingii kwenye damu kwahio ile permanent effect haipo..

Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
 
Azarel, Mkuu unachokiongea hakiwezekani kabisa..
Ukikata blood supply kwenye organ yoyote hata saa moja haiishi cell death inaanza kutokea.

Vumbi la kongo linafanya kazi ya kutia ganzi kwenye ngozi na sio kukata blood supply.

Kwanza ili penis i erect inahitaji blood sasa ukikata blood supply inaanzaje kusimama??

Tofautisha vumbi la congo na dawa kama sildenalfil
 
Ok ngoja nami wiki ijayo nkaitolee pesa hapo hapo magomeni...huwezi jua zali laweza ndondokeahuyu jamaa koro kweli ndo mnasababisha madem wasituamini....?.kulikua na point gan ya kureveal kila kitu kama hujagonga miaka
 
Back
Top Bottom