The Other Half (Simulizi)

Habibu B. Anga

JF-Expert Member
May 7, 2013
6,557
25,671
da9c6f58633033871d8d16b9387e2bdf.jpg

Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au mia tatu!! Ni nini itakuwa hatma ya dunia? mbari ya binadamu (human race) itaendelea kutawala?

Mpaka kufikia siku ya leo, Tarehe 13 March 2017, Dunia ina jumla ya watu bilioni saba na milioni mia nne thelathini na tisa. Idadi hii inaongezeka kwa asilimia 1.18% kila mwaka... Maana yake kwamba mpaka kufikia mwaka 2030 dunia itakuwa na watu bilioni 8.5 na ikifika mwaka 2100 dunia itakuwa na watu bilioni 11.2.!!

Lakini bado! Yes.. Bado, bado hatufiki hata robo ya uwezekano wa ninachokifiria.. Ninachotamani kila mtu afikiri.!!

Sayari yetu iko katika mfumo wa jua ambalo ni nyota moja kati ya nyota bilioni 100 zilizondani ya Milkway galaxy.. Na hii ni galaxy moja tu kati ya galaxy trilioni 10 zilizopo kwenye Universe.!
Kwa hiyo dunia ni kama punje ya mchanga kwenye pwani.. Haiwezekani ikawa mahala pekee penye uhai.!

Lazima kuna la zaidi katika haya maisha.. Yes, there must more to this life! Lazima kuna siri zilizofichika labda ubongo wetu hauna uwezo wa kufikiri na kufichua siri hizo kwa sababu binadamu wote, hata wale wenye akili kupitiliza, wote tunatumia chini ya asilimia 20 ya uwezo halisi wa ubongo wetu!

Itakuwaje tukiweza kuvumbua siri, siri ambayo itatufanya tuwe na binadamu wenye uwezo wa kutumia zaidi ya asilimia 20 ya nguvu ya ubongo wetu? Itakuwaje tukiweza kuwa na mbari ya binadamu (human race) yenye kutumia nguvu yote ya ubongo.. Je, wanaweza kusaidia kufunua siri za mambo yaliyojificha??

Lazima kuna la zaidi katika haya maisha.. Yes there must be more to this life..
Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au labda mia tatu!! Dunia yetu itakuwa wapi? Mbari ya binadamu itakuwepo??

Ninachokiwaza ni wendawazimu, lakini ni "wendawazimu" ndio ambao kwa historia yote wameisukuma mbari ya binadamu kwenda mbele..

Najua ninachokiwaza, na uzuri si mimi peke yangu ninayekiwaza, lakini zuri zaidi sio kwamba tu tunawaza.. Bali pia tunajua.. Kuna jambo la tofauti linatokea kila kona ya dunia.. Kuna mbari mpya ya binadamu inaibuka, mbari ambayo haifanini na mimi na wewe..
Kuna mbari mpya inaibuka kila pembe ya dunia!!

Je, itatuacha tuendelee kuishi? Au itatamani kutufuta kutoka kwenye uso wa dunia??

Tumekuwepo kwenye uso wa dunia zaidi ya miaka bilioni 4, tumetawala na kujimilikisha dunia kuwashinda wanyama na viumbe wengine wote.. Lakini kwa mara ya kwanza, naliona tishio la binadamu kufutwa katika uso wa dunia.!!

Naifikiria miaka mia moja ijayo, labda mia mbili au mia tatu? Dunia yetu itakuwepo? Mbari ya binadamu itakuwa wapi??

There must be more to this life.. Kuna siri zinahitaji kuwekwa wazi ili kulinda uwepo wa mbari yetu ya binadamu.!!

------------------

SIKU YA JUMAMOSI JIONI, HAPA HAPA KWENYE THREAD HII... TUTAZINDUA SIMULIZI MPYA KABAMBE INAYOITWA "THE OTHER HALF".!!

(Jumamosi Jioni ndio tunaanza Episode 1)

Usikose..

The Bold.
 
Nifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena @Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf firenogosa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody King Easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys Muhunzi Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome StraTon MemPhis GhaZar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria @hambiliki Mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 JUMONG @S Rogie @1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu debbs JOE scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz papaa azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden bwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi
 
Umenifanya nikawaza mbali sana,nikakumbuka enzi zile nilipokuwa mtoto nilikuwa naweza kukaa peke yangu sehemu iliyotulia na kujiuliza mimi ni nani? Kiasi nilikuwa najishangaa na kutoka nje ya dunia kifikra tofauti na siku hizi hata nijaribu vipi siwezi tena.

Siwezi kusubiri kigongo hiki kipya honey,kwa intro hii itakuwa balaa...pasua kichwa hasa.
Thank you love!
You gonn' love this one.. I promise you
 
The Bold baba, I think wewe ni kati ya watu wachache wenye upeo wa hali ya juu humu JF, but nadhani FIKIRISHI hii ungeipeleka kule intelijensia ingekua poa sana.

Lakini Pia nitumie fursa hii kukupongeza kwa kua na kifua cha kiume, nimeshangaa sana kujua kua Mkeo hajui lolote kuhusu huu uzi, kwa jinsi ninavyojijua mimi Mkewangu angeshajua black and white about this thread.

Tunasubiri huo UTAMU FIKIRISHI.

Si wanasema utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!!!!!!!!!
 
da9c6f58633033871d8d16b9387e2bdf.jpg

Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au mia tatu!! Ni nini itakuwa hatma ya dunia? mbari ya binadamu (human race) itaendelea kutawala?

Mpaka kufikia siku ya leo, Tarehe 13 March 2017, Dunia ina jumla ya watu bilioni saba na milioni mia nne thelathini na tisa. Idadi hii inaongezeka kwa asilimia 1.18% kila mwaka... Maana yake kwamba mpaka kufikia mwaka 2030 dunia itakuwa na watu bilioni 8.5 na ikifika mwaka 2100 dunia itakuwa na watu bilioni 11.2.!!

Lakini bado! Yes.. Bado, bado hatufiki hata robo ya uwezekano wa ninachokifiria.. Ninachotamani kila mtu afikiri.!!

Sayari yetu iko katika mfumo wa jua ambalo ni nyota moja kati ya nyota bilioni 100 zilizondani ya Milkway galaxy.. Na hii ni galaxy moja tu kati ya galaxy trilioni 10 zilizopo kwenye Universe.!
Kwa hiyo dunia ni kama punje ya mchanga kwenye pwani.. Haiwezekani ikawa mahala pekee penye uhai.!

Lazima kuna la zaidi katika haya maisha.. Yes, there must more to this life! Lazima kuna siri zilizofichika labda ubongo wetu hauna uwezo wa kufikiri na kufichua siri hizo kwa sababu binadamu wote, hata wale wenye akili kupitiliza, wote tunatumia chini ya asilimia 20 ya uwezo halisi wa ubongo wetu!

Itakuwaje tukiweza kuvumbua siri, siri ambayo itatufanya tuwe na binadamu wenye uwezo wa kutumia zaidi ya asilimia 20 ya nguvu ya ubongo wetu? Itakuwaje tukiweza kuwa na mbari ya binadamu (human race) yenye kutumia nguvu yote ya ubongo.. Je, wanaweza kusaidia kufunua siri za mambo yaliyojificha??

Lazima kuna la zaidi katika haya maisha.. Yes there must be more to this life..
Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au labda mia tatu!! Dunia yetu itakuwa wapi? Mbari ya binadamu itakuwepo??

Ninachokiwaza ni wendawazimu, lakini ni "wendawazimu" ndio ambao kwa historia yote wameisukuma mbari ya binadamu kwenda mbele..

Najua ninachokiwaza, na uzuri si mimi peke yangu ninayekiwaza, lakini zuri zaidi sio kwamba tu tunawaza.. Bali pia tunajua.. Kuna jambo la tofauti linatokea kila kona ya dunia.. Kuna mbari mpya ya binadamu inaibuka, mbari ambayo haifanini na mimi na wewe..
Kuna mbari mpya inaibuka kila pembe ya dunia!!

Je, itatuacha tuendelee kuishi? Au itatamani kutufuta kutoka kwenye uso wa dunia??

Tumekuwepo kwenye uso wa dunia zaidi ya miaka bilioni 4, tumetawala na kujimilikisha dunia kuwashinda wanyama na viumbe wengine wote.. Lakini kwa mara ya kwanza, naliona tishio la binadamu kufutwa katika uso wa dunia.!!

Naifikiria miaka mia moja ijayo, labda mia mbili au mia tatu? Dunia yetu itakuwepo? Mbari ya binadamu itakuwa wapi??

There must be more to this life.. Kuna siri zinahitaji kuwekwa wazi ili kulinda uwepo wa mbari yetu ya binadamu.!!

------------------

SIKU YA JUMAMOSI JIONI, HAPA HAPA KWENYE THREAD HII... TUTAZINDUA SIMULIZI MPYA KABAMBE INAYOITWA "THE OTHER HALF".!!

(Jumamosi Jioni ndio tunaanza Episode 1)

Usikose..

The Bold.
Nakuelewa mkuu... umenifanya mpka nime supp.... lakin c komi.. wacha nisubr kbsa
 
Mkuu kwenye hili na mm uwe una ni tag
 
The Bold baba, I think wewe ni kati ya watu wachache wenye upeo wa hali ya juu humu JF, but nadhani FIKIRISHI hii ungeipeleka kule intelijensia ingekua poa sana.

Lakini Pia nitumie fursa hii kukupongeza kwa kua na kifua cha kiume, nimeshangaa sana kujua kua Mkeo hajui lolote kuhusu huu uzi, kwa jinsi ninavyojijua mimi Mkewangu angeshajua black and white about this thread.

Tunasubiri huo UTAMU FIKIRISHI.

Si wanasema utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!!!!!!!!!
Pamoja sana Mkuu..

Nifah naona siku hizi ameshazoea kuwa namficha simulizi na anaziona pale tu ninapotaka kuziweka.. Mwanzoni alikuwa ananunaaaaa hahahahah ila now hatamani hata kuona kabla.. Anainjoi arosto ya kusubiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom