Sijui nimlie vitu vyake? Anajipendekeza

rubylove

Senior Member
Jun 1, 2015
127
41
Habari,

Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni mtu mzima.

Nikamwambia nina mchumba, sasa kila kitu nikuletee, mimi nakataa. Nimchune au nitadaiwa?

Simpendi, na kum-block nimem-block ila SMS huwa zinafika ila hakomi.
 
Mlie na usimpe tuna......hao wasio heshimu ndoa zao usiwaonee huruma.
 
Kama anajipendekeza wewe mkaushie. Usipende sana waume za watu. Jua fika waume za watu ni sumu so kuwa makini.
Ukimchuna ujue na wewe kuna siku utatolewa ngozi kabisa.
FIKIRIA THEN CHUKUA HATUA.
 
Mpotezeee,tu. Ukila cha mtu esp mwanaume hawezi kubali mikono mitupu, kwa njia moja ama nyingine.

Jus ignore him. Mambo ya kuchuna naona hujawahi, hujazoea ukijifunza ukubwani itakughalimu
 
Mpotezeee,tu. Ukila cha mtu esp mwanaume hawezi kubali mikono mitupu, kwa njia moja ama nyingine.

Jus ignore him. Mambo ya kuchuna naona hujawahi, hujazoea ukijifunza ukubwani itakughalimu
ha ha ha ha ha
 
hakuna vya bure sikuizi, atanaswa tuu

Unatumia akili....mpaka ajue mjini shule, tena hao wa kazini...duuh labda awe ndo boss maana anaweza akakudhuru kwa mengi kikazi. Lakini just a colleague....
 
ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu

mwache tu hajui kale kawimbo ka mzee yusufu umekula hela zangu utanibeba leo siondoki peke yangu,umekunywa soda zangu wee ...utanibeba leo siondoki peke yangu
 
Habari.mm ni msichana 22 years.kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana.sijui hata number yangu alimpa nani.ohoo nakupenda.nikamwambia si una mke ww.akasema hana.wakati ni mtu mzima.nikanwambia n8na mchumba.sasa kila kitu.nikuletee.mm nakataa.nimchune au ntadaiwa.simpendddi .nakumblock nimemblock ila sms huwa zinafika ila hakomi.

mwanaume hapotezi bure,utalipia tu..
we mtishie kumwambia mkewe,akizingua mwambie kweli..
usijiroge kupokea offer wala zawadi yoyote hapo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom