Karibuni kwa mitando yote ya Tanzania inayokusumbua,mgeni mpya Mimi.

University_Promo

JF-Expert Member
Sep 29, 2018
749
660
Habari ndugu.
Mimi ni mgeni.
So Kama una tatizo la mtandao wowote karibuni tutasaidiana kutatua pamoja na kushirioiana na mitandao husika karibuni.
 
kwenye mtandao wangu wa voda vocha haziingii kabisa em jaribu kunitumia voda ya 2000.
 
matatizo kama yapi mkuu.? me kila nikiwek vocha inakatwa (mtandao wa Hallotel)
nawasilisha
 
Back
Top Bottom