Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hellow member mambo zenu nimekuja rasmi naomba mnikaribishe
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hallo wana JF. Nimejiunga leo na hii forum lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda. Naamini mchango wangu utaongeza, japo kidogo kwenye mabadiliko ya fikra na hazina ya ujuzi kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf mi mgeni naomba MNIKARIBISHE rasmi kama mwanachama wa jf
3 Reactions
10 Replies
762 Views
Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
5 Reactions
13 Replies
999 Views
In all ways of lifestyle New hopes around us all the time so.never loose hope 🎩🎩
5 Reactions
10 Replies
666 Views
I am sorry, I 'm a new comer to this Media so I need your cooperation in order to reach our goals
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JF mi mgeni naomba wenyeji mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Am new member here! Nimevutiwa na jukwaa hill kwa mambo mengi zaidi kubadilishana ideas,naombeni ukaribisho weni guyz! Asante.
3 Reactions
8 Replies
827 Views
Habari za muda huu wanajf, kama caption inavojieleza mimi ni mgeni humu jf, naombeni ushirikiano wetu katika ushauri .asanteni
1 Reactions
6 Replies
589 Views
Am new member here, nimevutiwa na jukwaa jhili kwa mengi zaidi kupata ideas mpya,naombeni ukaribisho asanteni.
3 Reactions
5 Replies
595 Views
Naomba nijitambulishe....mimi ni yule wa zamani ila wa sasa ,
1 Reactions
10 Replies
551 Views
New member naomb mnikalibishe wapendwa
4 Reactions
9 Replies
850 Views
Naomba mnipokee wadau
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimejikaribisha ahsanteni wenyeji wangu[emoji1]
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Jaman mimi naitwa Son boy naombeni mnikaribishe kwa makofi matatu pa pa pa asanteni sanaaaa
1 Reactions
4 Replies
526 Views
Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Hamjambo member wote wa JF? Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani. Awali ya yote napenda...
18 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho. Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku. Naomba mnikaribishe na mnionyeshe...
15 Reactions
187 Replies
5K Views
Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa. Nimekuwa nikisoma...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…