it takes a millions of people to build up good reputation,but it takes only one stupid person to destroy every thing have done! so let us fight against the stupids.
thanks!
yap.meli ndio hii imekita na nanga imetua.shehena iliyobeba ni elimu ya darasani kiasi na ya ulimwengu kochokocho.kupakua ni bure bora kichwa chako kitaweza kubeba.thanks in advance.
It is a pleasure indeed to join your ranks. Let me say Hi to all of you and hope that I will not only benefit from your sharp and critical minds but will also enjoy exchanging news and views.
Assalamu alaykum.
Jamani mi ni yule yule barubaru ( Dr Hamza) wa Doha Qatar nikiwa pamoja na Mwandani wangu Bi Nasriyah.
Kwa ihsani yenu tunaomba kuingia katika baraza yenu hii.
Tunapenda...
Hello to all JamiiForums members! I have been looking for a forum where I share my mind openly. when I was browsing I came across Jammiiforums address and the words "Where we dare to talk openly"...
Hi, great thinkers, i am a new comer, i was watching you from the mud in the bush. By the way, Tanzania has many problem but i feel, the major problem is in our heads, the mindset. will tell you...
habari zenyu wajameni,
Nafurahi kuwa mmoja wa hii saiti, navashukuru member vote kwani kupitia kwenyu niliweza kuriwasika pale nilipokua katika wakati mgumu, kwani mmoja va rafiki zangu alikuwa...