Hodi!

Naomba mnikaribishe mwanajf mwenzenu mgeni. Nafikiri nitajifunza mengi.


Karibu sana Erin.

Utajifunza mengi sana ` sijui dadaangu au kakaangu. Hapa kuna vichwa vya kila aina, kwahiyo chukua hiyo kama changamoto.

Welcome again.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom