MFANYAKAZI(NURSE MIDWIFE ANAYESTAAFU AKIWA NA MSHAHARA ALIOANZIA KAZI) Hivi unaweza kutaja nini kiashirio cha uwepo wa TALGWU katika halmashauri fulani? nikimaanisha uwepo wa chochote kwa kuona au...
Mhhh! atlast sasa nimeingia rasmi after a long scrutiny! Marahaba wadau, nipo laivu kuanzia sasa jamvini! Napenda mambo yote na chukia vyote. Muendelee kuwepo tupate!!
Nimechoka kuangalia humu kimiakimia sasa nabisha hodi kabisaaaaaaaaaaa naomba mnikaribishe! Kama kawaida hiki ni kikaango hakichagui mboga, twende kazi.
naomba kukaribishwa humu jamvini, nimekuwa mshiriki mzuri wa hii forum kwa kusoma tuu na wala sikuweza kuchangia chochote. natumaini nami nitkuwa mmoja wa wachangiaji.
be blessed
Hi everybody out there! It's great to be amid great thinkers! Been visiting Jf for quite a long time. Being tired of remaining on the sidelines, have now decided to jump into the pitch with both...
habari zenu wanajamvi wenzangu. well ndo hivyo tena mi ni mgeni humu na minaomba ushirikiano wenu ili tuendeleze gurudumu hili la MAPAMBANO, well you heard me right mi ni mwanamapambano na nimekua...
Ndg zangu, heshima kwenu wote...
Nilikuwa member kwa muda hapo nyuma, wakati nyumba yetu ikiwa jambo forum, then nikapotea kwa muda kutokana na shughuli za kila siku.
leo nimepata muda, naomba...
A VERY INTERESTING CONVERSATION
An Atheist Professor of Philosophy was speaking to his Class on the Problem Science has
with GOD, the ALMIGHTY. He asked one of his New Christian Students...