Habari wana jf, nimekua nikifaidi ya baraza hili nikia kwa nje muda mrefu, sasa nimeamua niingie ndani kwani utamu wa ngoma si kuangalia wengine bali kuingia nakucheza. MASHAKABWA
WanaJF wote nawashukuru kwa kuwa great thinkers na nawajulisha kuwa nimeamua kujiunga ili tuweze kubadilishana mawazo na kuweza kuikomboa nchi hii. Hongereni sana,na tuko pamoja
Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu...
Heshima kwenu wANA jf.
Nimekuwa sipo ktk forum yetu hii kwa kipindi cha karibia miaka miwili kwa sababu mbalimbali.
Nafurahi kurejea tena na kujiunga nanyi. Asanteni sana.
Nimeingia Mlenga Shabaha: hasira nilizopata kutoka kwa msanii huyu anayejifikiria ndiyo rais wetu jinsi anavyo-deal na wafanyakazi masikini wa nchi hii imenifanya nijiunge na JF ili niwe natoa...
Hi,
In The Name of Tanzania, I salute you, both honorable members of Jamii Forum. I am Timothy Uggi, with a teaching profession and computer expert at Don Bosco Seminary Mafinga Iringa.
Aspiring...
Salaam nyingi ziwafikie wanajimii wote:wave:,
Rafiki yangu alipendekeza nijiunge na kwa kuangalia baadhi ya mazungumzo nimeona ni jambo jema kufanya hivyo. Kwa kweli Tanzania tunahitaji kuwa...