Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi ni mgeni hapa, natarajia kujumuika nanyi hapa jukwaani katika juhudi za kuijenga nchi yetu.
0 Reactions
1 Replies
618 Views
za hapa jamani! mgen kwenu wapendwa!!
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Am here to share my expressions with you all. I ask your cooperation to me. God bless u all.
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Hi wana JF, nawatakia kila la kheri ili muweze kutoa michango yenye busara zaidi ktk nyanja mbali mbali humu ndani ya JF.
0 Reactions
3 Replies
810 Views
New member. Keep the jf running!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwanza kabisa nawasalimu...nilkuwa napitapita kwa nje tu leo nimeamua niingie...maana ukitaka kujua uhondo wa ngoma sharti uingie ucheze atiii!!!
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Halo wana JamiiForums nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi humu jamvini kwa muda mrefu na kufurahishwa mijadala inavyokwenda japo sikuwa memba. Kwa sasa imeamua kujiunga na jamvi hili ili na mimi...
0 Reactions
4 Replies
684 Views
Hodi mpaka ndani wandugu
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Habar wadau. Nimeingia humu nikiamini kua wenyeji wote ni wazalendo wanaoipenda Tanzania na wako tayar kwa lolote ikiwa ni la lazima kuhakikisha nchi yetu inaenda sawa. Shida zinazotokana na...
0 Reactions
5 Replies
866 Views
hello my people, luv u all!
0 Reactions
2 Replies
632 Views
it's me babu ndende .naombeni ushirikiano
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Nimefurahi sana kujiunga nanyi kutoa michango mbali mbali ya kimawazo ili kwa pamoja tuijenge nchi yetu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana habari za siku nyingiKwa muda mrefu sana nimekuwa nje ya forum la wastaarabu kwa sababu zisizozuilika, nachua nafasi hii kuwasalimu na kuwaomba rasmi kunipokea tena. Kama ilivyo desturi...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
naomba Mnipokee katika jukwaa
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Heshima mbele WAKUU. Naingia jamvini nlkitokea katika yale mapango ya AFGHANISTAN. Niko hoi na mabomu ya NATO. Mnipokee jamani.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
naombeni ushirikiano
0 Reactions
10 Replies
1K Views
:hand:hello!
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Habari zenu natumaini mko pouwa Kama member mpya wa JF natumaini mtanipokea.
0 Reactions
10 Replies
933 Views
Hatimaye leo nimeamua kubisha hodi rasmi ndani ya JF ili nami niwe mwanafamilia baada ya kuwa guest wa JF kwa muda mrefu ambapo nilipata fursa ya kufuatilia posts mbalimbali zenye hoja. Natarajia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
New member here.....
0 Reactions
6 Replies
724 Views
Back
Top Bottom